RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA

RAIS SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Magengo Matatu ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilioko katika eneo la Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba, kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa.
RAIS SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kufungua majengo ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kushoto Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim, wakishiriki katika ukataji wa utepe huo wakati hafla ya ufunguzi wa majengo hayo.
SHEIN-3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri wa Ujenzi wa Majengo Matatu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Majengo hayo eneo la Gombani Pemba.
rais SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati akifungua  Majengo Matatu ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilioko katika eneo la Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba, kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa.
SHEIN-5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo hayo wakati alitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin leo.
SHEIN-6
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin leo kisiwani Pemba katika eneo la Gombani.
SHEIN
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Afisa Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Pemba Ndg. Hakim Vuai Shein, kulia, wakati akitembelea jingo la Wizara hiyo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA MADINI YA BARRICK

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *