WAZIRI MKUU AKIWA NA WABUNGE MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA

8-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na wananchi kutoka kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga waliotembelea bunge kwa mwaliko wa mbunge wao, Dkt. Dalaly Kafumu (wa pili kushoto), Februari 3, 2020. Kutoka kulia ni Abel Nching’wa, Ntemi Mboje na Mahona Lutengwa. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
7-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Igunga, Dkt. Dalaly Kafumu kwenye jengo la utawala la bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Shally Raymond. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6-01
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Kutoka kushoto ni Cesilia Pareso, Grace Kiwelu na Risala Kabongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01

4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Joseph Haule wa Mikumi (kulia) na Peter Lijualika wa Kilombero kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01

2-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Jesephat Kandege bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia) , bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Hussein Bashe, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AMPONGEZA BONDIA SALIM MTANGO ALIYESHINDA MKANDA WA DUNIA WA UBO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *