RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA

  • Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Mhe. Manfred Fanti na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
2-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
  • Baada ya mazungumzo yake na Mhe. Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa SADC, Dkt. Stergomena Tax amesema alikuja kutoa taarifa ya utekelezaji wa masuala mbalimbali ya SADC ikiwemo uendelezaji wa viwanda na kanda huru ya biashara ambapo wamekubaliana kuendelea kuhamasisha nchi wanachama kuendeleza viwanda ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi.
1-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
  • Ameelezea baadhi ya maeneo yaliyopo katika mkakati wa kukuza uchumi wa SADC kuwa ni kuendeleza miundombinu hasa ya usafiri na nishati ambayo bado ni changamoto kwa nchi za SADC, lakini ameipongeza Tanzania kwa hatua madhubuti zinazoendelea kuchukuliwa ikiwemo ujenzi wa barabara, reli na kuongeza uzalishaji wa umeme.
3-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Kanali Wilbert Ibuge.
  • Kwa upande wake Balozi wa EU hapa nchini Mhe. Manfred Fanti amesema mazungumzo yake na Mhe. Rais Magufuli yamekuwa na manufaa makubwa ambapo wamejadili maendeleo mazuri ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na EU, na kwamba katika siku za karibuni wamekamilisha mazungumzo yaliyoruhusu kuendelea kwa mpango wa EU kuchangia bajeti ya maendeleo ya Tanzania ambapo shilingi Bilioni 132 zilizokuwa zimezuiwa zimeruhusiwa na sasa wanaandaa mpango mwingine wa miaka 7 utakaoanza mwaka huu.
4-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana na Balozi Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
  • Mhe. Manfred Fanti amesema kwa jinsi anavyoyaona maendeleo ya Tanzania ana matumaini makubwa kuwa EU itaendelea kufanya kazi kwa ukaribu zaidi na Tanzania ili kufanya vizuri zaidi.
5-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana na Balozi Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
  • Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mhe. Balozi Fanti kwa juhudi zake za kuimarisha uhusiano wa Tanzania na EU na amemhakikishia kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na EU katika masuala mbalimbali yenye maslahi kwa pande zote mbili.
6-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana na Balozi Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
  • Aidha, Mhe. Rais Magufuli amekutana na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke na kumkabidhi barua aliyomwandikia Rais wa China Mhe. Xi Jinping akimpa pole kwa janga la homa ya virus vya Corona lililolikumba Jiji la Wuhan nchini humo na kusababisha vifo vya mamia ya watu.
7-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
  • Pamoja na kukabidhi barua hiyo, Mhe. Rais Magufuli amesema Tanzania imeguswa na kulipuka kwa janga hilo na ipo tayari kutoa ushirikiano wowote ambao Serikali ya China itahitaji katika jitihada za kukabiliana na homa hiyo.“China ni ndugu zetu ni marafiki zetu, tunatoa pole kwa Mhe. Rais Xi Jinping na Wachina wote waliopatwa na madhara ya homa hii, daima Tanzania tupo pamoja na China na katika hili tupo pamoja pia” amesisitiza Mhe. Rais Magufuli.
8-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax aliyeongozana na Afisa wake mwandamizi Bw. Mkundi Mutasa alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
  • Kwa upande wake, Balozi Wang Ke amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kuguswa na janga hilo na kuungana na China katika kipindi hiki kigumu. Ametumia nafasi hiyo kueleza hali ilivyo nchini China ambapo amesema Serikali ya China imeanza kupata mafanikio katika kukabiliana na homa hiyo, imefanikiwa kuzuia isienee katika nchi zingine kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO) na nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania.
9-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
  • Aidha, amemhakikishia Mhe. Rais Magufuli kuwa licha ya Tanzania kutokuwa na mtu yeyote aliyethibitika kuambukizwa homa ya Corona, pia Watanzania 400 waliopo katika Jiji la Wuhan ambao wengi wao ni wanafunzi hawajaambukizwa homa hiyo na jitihada za kuhakikisha wanakuwa salama zinafanyika.
11-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Mkundi Mutasa aliyeongozana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax aliyekutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Kanali Wilbert Ibuge
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

75 Maoni

  1. Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.

  2. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  3. An exploration of Nicole Kidman’s https://watch.nicole-kidman-fr.com career, her notable roles, and her continued quest for excellence as an actress.

  4. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  5. Inter Miami FC https://mls.inter-miami-fr.com has become a major player in MLS thanks to its star roster, economic growth and international influence.

  6. Tyson Fury https://wbc.tyson-fury-fr.com is the undefeated WBC world champion and reigns supreme in boxing’s heavyweight division.

  7. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristianoronaldo-br.net one of the greatest football players of all time, begins a new chapter in his career by joining An Nasr Club.

  8. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  9. Follow Bernardo Silva’s impressive career https://manchester-city.bernardosilva.net from his debut at Monaco to to his status as a key player and leader of Manchester City.

  10. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  11. The fascinating story of Sergio Ramos’ https://seville.sergioramos.net rise from Sevilla graduate to one of Real Madrid and Spain’s greatest defenders.

  12. The incredible story https://napoli.khvichakvaratskhelia-br.com of a young Georgian talent’s transformation into an Italian Serie A star. Khvicha Kvaraeshvili is a rising phenomenon in European football.

  13. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  14. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-br.net one of the greatest basketball players of all the times, left an indelible mark on the history of sport.

  15. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  16. Pedro Gonzalez Lopez https://barcelona.pedri-ar.com known as Pedri, was born on November 25, 2002 in the small town of Tegeste, located on Tenerife, one of the Canary Islands.

  17. Harry Kane https://bayern.harry-kane-ar.com one of the most prominent English footballers of his generation, completed his move to German football club Bayern Munich in 2023.

  18. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  19. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  20. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  21. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  22. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  23. driving a rental car from bulgaria to Montenegro rental cars Montenegro

  24. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *