MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WAUNGANISHA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya kushuhudia utiaji saini wa mkataba wa makubaliano wa kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na visiwa vya Unguja na Pemba wakiwa kwenye ukumbi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Zanzibar. Kushoto ni Katibu wa Wizara hiyo, Dkt.Mustafa Aboud Jumbe

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeweka saini ya mkataba wa makubaliano wa kuunganisha visiwa vya Pemba na Unguja na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na Mkongo wa Zanzibar

Utiaji saini huo umeshuhudiwa na katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt. Mustafa Aboud Jumbe, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Ad
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Waziri Kindamba akiongea na waandishi wa habari kabla ya kutia saini mkataba wa makubaliano wa kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na visiwa vya Pemba na Unguja wakiwa kwenye ukumbi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Zanzibar. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Mustafa Aboud Jumbe na Dkt. Zainabu Chaula (wa pili kushoto) wa Wizara hiyo (Sekta ya Mawasiliano), Tanzania Bara

Utiaji saini huo umefanywa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba kwa upande wa Bara na Mhandisi Shukuru Awadh Slueiman, Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Miundombinu ya TEHAMA Zanzibar (ZICTIA) kwa upande wa Zanzibar

Kabla ya kushudia tukio hilo, Dkt. Zainabu Chaula alisema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejenga Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 700 na kuunganisha kwenye mikoa yote 26 ya Tanzania Bara na kwenye nchi jirani za Congo, Zambia, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda na Malawi ambapo maunganisho haya yanaenda kufungua fursa za wawekezaji na watumia wa huduma za mawasiliano wa ndani na nje ya nchi  kuunganishwa na Zanzibar kwa kuwa katika kipindi cha miaka mitano tumeshuhudia kuibuka kwa mifumo ya TEHAMA ambayo inawezesha utoaji wa huduma za mawasiliano kwa wananchi kwa kasi zaidi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar, Dkt. Mustafa Aboud Jumbe akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Wizarani kwake kabla ya kushuhudia utiaji saini wa mkataba wa makubaliano wa kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na visiwa vya Unguja na Pemba. Kulia ni Dkt. Zainabu Chaula wa Wizara hiyo (Sekta ya Mawasiliano), Tanzania Bara

Naye Dkt. Jumbe amesema kuwa haya ndio matunda ya mapinduzi, matunda ya mapinduzi sio maembe wala mapapai bali ni maendeleo yanayopatikana katika nchi yetu, na Serikali yetu ya SMZ imetumia zaidi ya shilingi bilioni 30 kuunganisha mikoa na wilaya zote za Unguja na Pemba bali kulikuwa na changamoto ya kuunganisha Unguja na Pemba ila sasa kwa kupitia makubaliano haya, tutatumia barabara ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kuunganisha visiwa Pemba na Unguja na hivyo Zanzibar kuunganishwa na Tanzania Bara moja kwa moja na utawezesha kupunguza gharama za mawasiliano ili ziwe nafuu

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa miundombinu ya TEHAMA, Zanzibar, Mhandisi Shukuru Suleiman akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Zanzibar kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na visiwa vya Pemba na Unguja. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Mustafa Aboud Jumbe, wa pili kushoto ni Dkt. Zainabu Chaula wa Wizara hiyo (Sekta ya Mawasiliano), Tanzania Bara na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Waziri kindamba wa kwanza kulia akisikiliza

Na Prisca Ulomi, WUUM, Zanzibar

Ndugu Kindamba amesema kuwa ufunguzi wa njia za mawasiliano ya Mkongo kati ya Tanzania Bara na Zanzibar utakuwa na manufaa makubwa sana kwa taifa hasa katika kuwezesha kuongezeka kwa matumizi ya data na intaneti na makubaliano hayo yanahusisha kutunza vifaa vya miundombinu ya TEHAMA vya ZICTIA kwenye majengo ya TTCL

Mhandisi Suleimani ameongeza kuwa ZICTIA imekamilisha ujenzi wa Mkongo wa Zanzibar na sasa unaunganishwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ambapo itakuza na kuongeza huduma za mawasiliano; kuondoa changamoto iliyokuwepo Zanzibar ya kutumia njia ya mawasiliano ya mawimbi ya radio kutoa huduma za mawasiliano ambayo hayana kasi na ubora unaohitajika, kupunguza gharama za mawasiliano na kuingizia mapato kwa Serikali

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

274 Maoni

  1. I really believe you will do well in the future I appreciate everything you have added to my knowledge base.

  2. http://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline 300 mg daily
    doxycycline 300 mg tablet doxycycline 300 mg where can you get doxycycline

  3. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  4. http://clomiddelivery.pro/# where to get generic clomid without prescription

  5. http://amoxildelivery.pro/# amoxicillin no prescipion
    generic amoxicillin amoxicillin 500 mg without prescription where to buy amoxicillin pharmacy

  6. paxlovid for sale: paxlovid pharmacy – paxlovid for sale
    https://amoxildelivery.pro/# where can i buy amoxicillin online
    where to purchase doxycycline doxycycline order online uk doxycycline pharmacy price

  7. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  8. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  9. ciprofloxacin over the counter: ciprofloxacin 500mg buy online – cipro pharmacy
    http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid buy

  10. can i buy clomid no prescription: how to buy cheap clomid price – order generic clomid

  11. amoxicillin no prescription: can you buy amoxicillin uk – buy amoxicillin online mexico

  12. http://doxycyclinedelivery.pro/# can you buy doxycycline over the counter

  13. buy paxlovid online: buy paxlovid online – paxlovid pharmacy
    https://clomiddelivery.pro/# order clomid without dr prescription

  14. http://ciprodelivery.pro/# ciprofloxacin generic
    azithromycin doxycycline doxycycline 100 mg buy online where can i get doxycycline

  15. https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline price south africa
    doxycycline iv buy doxycycline united states doxycycline 250

  16. doxycycline: doxycycline 100mg capsules buy – canadian pharmacy doxycycline
    https://clomiddelivery.pro/# can you buy generic clomid for sale
    paxlovid price paxlovid for sale paxlovid cost without insurance

  17. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  18. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  19. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

  20. paxlovid pill: paxlovid price – paxlovid covid
    http://amoxildelivery.pro/# amoxicillin discount coupon

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *