MRADI WA MAJI WA SOMANGA MKOANI LINDI UNATARAJIWA KUKAMILIKA BAADA YA SIKU 50

Mradi wa Maji wa Somanga katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi unatarajiwa kukamilika baada ya siku 50 tayari kuhudumia vijiji vya Somanga Kaskazini na Kusini kwa wananchi zaidi ya 8,000 kwa gharama ya Sh. mil 400 chini ya utekelezaji wa wataalam wa ndani kupitia mpango wa PfR.

Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *