MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA MABASI MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM

Maendeleo ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam.

Rais Dkt. John Magufuli na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera wanatarajia kuweka jiwe la msingi katika ujenzi Kituo cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam

Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera amewasili nchini leo kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu ambapo pia atatembelea Bandari ya Dar Es Salaam kuangalia uboreshaji wa miundombinu unaendelea kufanyika.

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za Watoto

Tarehe 4 hadi 5 Aprili 2024, umefanyika Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *