Maktaba ya Kila Siku: October 13, 2020

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA MSIKITI MKUU KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Oktoba, 2020 ametembelea Msikiti Mkuu uliojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mufti …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAWEKEZAJI

Ikiwa ni wiki moja baada Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa kutoa maagizo kwa Wizara ya Viwanda na Biashara kufika kwenye kiwanda cha maziwa kinachojegwa kihanga, Wilayani Karagwe ili kutatua changamoto anazozipata Mwekezaji wa kiwanda hicho. Oktoba 12,2020 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Ludovick …

Soma zaidi »

SERIKALI KUTUMIA BILIONI 1 KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI JIJINI DODOMA

Serikali kupitia Wizara ya Maji imeipatia Mamlaka ya Majisafi na Usafi waMazingira Mjini Dodoma (DUWASA) kiasi cha shilingi bilioni 1 iii kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo yenye changamoto ya huduma hiyo jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga alipotembelea kisima kimojawapo …

Soma zaidi »