LUKUVI APOKEA TAARIFA YA AWALI YA UHAKIKI ENEO LA MGOGORO MTAKUJA DODOMA

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepokea taarifa ya awali ya uhakiki wa eneo lenye Mgogoro la Mtakuja lilipo Kata ya Chang’ombe mkoani Dodoma.

Ad

Taarifa ya uhakiki wa eneo hilo lenye ukubwa hekta kumi uliwasilishwa leo tarehe 4 Oktoba 2020 katika ofisi za Wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma na Kamishna Msaidizi wa Ardhi Uratibu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wilson Luge kwa niaba ya timu inayofanya uhakiki kwa wakazi wanaoishi eneo hilo.

Kamishna Msaidizi wa Ardhi Uratibu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wilson Luge akiwasilisha Taarifa ya Uhakiki wa wananchi wanaomiliki maeneo yenye mgogoro katika eneo la Mtakuja lililopo kata ya Chang’ombe leo tarehe 4 Oktoba 2020 mkoani Dodoma.

Uwasilishaji taarifa hiyo unafuatia kukwama kwa mara kadhaa mazoezi yaliyofanyika huko nyuma na kusababisha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi kuelekeza kufanyika uhakiki mwingine ili kutafuta suluhu ya kudumu ya mgogoro wa muda mrefu kwenye eneo hilo.

Kwa mujibu wa Kmaishna Msaidizi wa Ardhi Uratibu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wilson Luge, tayari timu ya uhakiki mgogoro huo imeshawapitia wananchi 750 kati ya 1,025 watakaofanyiwa uhakiki.

Luge alisema, kazi kubwa inayofanywa na timu ya uhakiki ni kupitia taarifa ya kila mwananchi na kuangalia hali ya maendelezo yaliyofanyika katika kila eneo la mwananchi analomiliki.

Afisa Mipango Miji Eliza Lushu (Kushoto) akihakiki taarifa za mkazi wa Mtakuja kata ya Chang’ombe mkoa wa Dodoma Enesmo Lucas Sunday wakati timu ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ikiendesha zoezi la uhakiki wananchi wanaomiliki maeneo yenye mgogoro katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekta kumi.

Mazoezi ya uhakiki eneo la Mtakuja Kata ya Chang’ombe mkoa wa Dodoma yamefanyika mara kadhaa katika miaka ya 2005, 2008 na 2015 ambapo zoezi linaloendelea sasa linatarajiwa kuleta suluhu ya mgogoro huo.

Uwasilishwaji taarifa ya uhakiki wa mgogoro wa eneo la Mtakuja Dodoma, ulihudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde, Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mary Makondo, Naibu wake Nocolaus Mkapa, Kamishna wa Ardhi Nathaniel Nhonge na Watendaji wa Wizara, Jiji la Dodoma pamoja na wa Kata ya Chang’ombe.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi (wa Tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na timu inayoshiriki zoezi la uhakiki katika eneo lenye mgogoro la mtakuja kata ya Chang’ombe mkoa wa Dodoma baada ya kupata taarifa ya maendeleo ya zoezi hilo jana. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde (wa tatu Kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Mary Makondo (wa pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nicolaus Mkapa (wa kwanza kushoto). (PICHA ZOTE NA MUNIR SHEMWETA WIZARA YA ARDHI).
Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.‪@samiasuluhu99‬

Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.

203 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Top sports news https://idman-azerbaycan.com.az photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  3. Latest news and details about the NBA in Azerbaijan https://nba.com.az. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  4. Discover the fascinating world of online games with GameHub Azerbaijan https://online-game.com.az. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  5. Play PUBG Mobile https://pubg-mobile.com.az an exciting world of high-quality mobile battle royale. Unique maps, strategies and intense combat await you in this exciting mobile version of the popular game.

  6. The most popular sports site https://sports.com.az of Azerbaijan, where the latest sports news, forecasts and analysis are collected.

  7. https://loveflover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  8. 1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.

  9. Pin Up official https://pin-up.adb-auto.ru website. Login to your personal account and register through the Pin Up mirror. Slot machines for real money at Pinup online casino.

  10. Pin Up online casino https://pin-up.webrabota77.ru/ is the official website of a popular gambling establishment for players from the CIS countries. The site features thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino.

  11. Реальные анкеты проституток https://prostitutki-213.ru Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  12. Buy TikTok followers https://tiktok-followers-buy.com to get popular and viral with your content. All packages are real and cheap — instant delivery within minutes. HQ followers for your TikTok. 100% real users. The lowest price for TikTok followers on the market

  13. Pin Up Casino https://pin-up.sibelshield.ru official online casino website for players from the CIS countries. Login and registration to the Pin Up casino website is open to new users with bonuses and promotional free spins.

  14. Pin Up Casino https://pin-up.ergojournal.ru приглашает игроков зарегистрироваться на официальном сайте и начать играть на деньги в лучшие игровые автоматы, а на зеркалах онлайн казино Пин Ап можно найти аналогичную витрину слотов

  15. Pin Up https://pin-up.fotoevolution.ru казино, которое радует гемблеров в России на протяжении нескольких лет. Узнайте, что оно подготовило посетителям. Описание, бонусы, отзывы о легендарном проекте. Регистрация и вход.

  16. Открой мир карточных игр в Pin-Up https://pin-up.porsamedlab.ru казино Блэкджек, Баккара, Хило и другие карточные развлечения. Регистрируйтесь и играйте онлайн!

  17. Pinup казино https://pin-up.vcabinet.kz это не просто сайт, а целый мир азартных развлечений, где каждый может найти что-то свое. От традиционных игровых автоматов до прогнозов на самые популярные спортивные события.

  18. Latest Diablo news https://diablo.com.az game descriptions and guides. Diablo.az is the largest Diablo portal in the Azerbaijani language.

  19. Latest World of Warcraft (WOW) tournament news https://wow.com.az, strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Azerbaijani language

  20. Azerbaijan NFL https://nfl.com.az News, analysis and topics about the latest experience, victories and records. A portal where the most beautiful NFL games in the world are generally studied.

  21. The latest analysis, tournament reviews and the most interesting features of the Spider-Man game https://spider-man.com.az series in Azerbaijani.

  22. Read the latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike.net.az, watch the most successful tournaments and become the best in the world of the game on the CS2 Azerbaijan website.

  23. Mesut Ozil https://mesut-ozil.com.az latest news, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about one of the best football players Mesut Ozil.

  24. Explore the extraordinary journey of Kilian Mbappe https://kilian-mbappe.com.az, from his humble beginnings to global stardom. Delve into his early years, meteoric rise through the ranks, and impact on and off the football field.

  25. Latest boxing news https://boks.com.az, Resul Abbasov’s achievements, Tyson Fury’s fights and much more. All in Ambassador Boxing.

  26. Paulo Bruno Ezequiel Dybala https://dybala.com.az Argentine footballer, striker for the Italian club Roma and the Argentina national team. World champion 2022.

  27. Канал для того, чтобы знания и опыт, могли помочь любому человеку сделать ремонт https://tvin270584.livejournal.com в своем жилище, любой сложности!

  28. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.liverpool-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  29. Paul Labille Pogba https://paul-pogba.psg-fr.com Footballeur francais, milieu de terrain central du club italien de la Juventus. Champion du monde 2018. Actuellement suspendu pour dopage et incapable de jouer.

  30. The young talent who conquered Paris Saint-Germain: how Xavi Simons became https://xavi-simons.psg-fr.com leader of a superclub in record time.

  31. Kylian Mbappe https://kylian-mbappe.psg-fr.com Footballeur, attaquant francais. Il joue pour le PSG et l’equipe de France. Ne le 20 decembre 1998 a Paris. Mbappe est francais de nationalite. La taille de l’athlete est de 178 cm.

  32. Kevin De Bruyne https://liverpool.kevin-de-bruyne-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  33. Kylian Mbappe https://psg.kylian-mbappe-fr.com Footballeur, attaquant francais. L’attaquant de l’equipe de France Kylian Mbappe a longtemps refuse de signer un nouveau contrat avec le PSG, l’accord etant en vigueur jusqu’a l’ete 2022.

  34. Изготовление, сборка и ремонт мебели https://shkafy-na-zakaz.blogspot.com для Вас, от эконом до премиум класса.

  35. Forward Rodrigo https://rodrygo.real-madrid-ar.com is now rightfully considered a rising star of Real Madrid. The talented Santos graduate is compared to Neymar and Cristiano Ronaldo, but the young talent does not consider himself a star.

  36. Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.real-madrid-ar.com English footballer, midfielder of the Spanish club Real Madrid and the England national team. In April 2024, he won the Breakthrough of the Year award from the Laureus World Sports Awards.

  37. Saud Abdullah Abdulhamid https://saud-abdulhamid.real-madrid-ar.com Saudi footballer, defender of the Al -Hilal” and the Saudi Arabian national team. Asian champion in the age category up to 19 years. Abdulhamid is a graduate of the Al-Ittihad club. On December 14, 2018, he made his debut in the Saudi Pro League in a match against Al Bateen

  38. Vinicius Junior https://vinisius-junior.com.az player news, fresh current and latest events for today about the player of the 2024 season

  39. Latest news and information about Marcelo https://marcelo.com.az on this site! Find Marcelo’s biography, career, playing stats and more. Find out the latest information about football master Marcelo with us!

  40. Conor Anthony McGregor https://conor-mcgregor.com.az Irish mixed martial arts fighter who also performed in professional boxing. He performs under the auspices of the UFC in the lightweight weight category. Former UFC lightweight and featherweight champion.

  41. Оперативный вывод из запоя https://www.liveinternet.ru/users/laralim/post505923855/ на дому. Срочный выезд частного опытного нарколога круглосуточно. При необходимости больного госпитализируют в стационар.

  42. Видеопродакшн студия https://humanvideo.ru полного цикла. Современное оборудование продакшн-компании позволяет снимать видеоролики, фильмы и клипы высокого качества. Создание эффективных видеороликов для рекламы, мероприятий, видеоролики для бизнеса.

  43. Заказать вывоз мусора вывоз мусора москва в Москве и Московской области, недорого и в любое время суток в мешках или контейнерами 8 м?, 20 м?, 27 м?, 38 м?, собственный автопарк. Заключаем договора на вывоз мусора.

  44. Welcome to the site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.com.az, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  45. Gucci купить http://thebestluxurystores.ru по низкой цене в интернет-магазине брендовой одежды. Одежда и обувь бренда Gucci c доставкой.

  46. Монтаж систем отопления https://fectum.pro, водоснабжения, вентиляции, канализации, очистки воды, пылеудаления, снеготаяния, гелиосистем в Краснодаре под ключ.

  47. Usain St. Leo Bolt https://usain-bolt.com.az Jamaican track and field athlete, specialized in short-distance running, eight-time Olympic champion and 11-time world champion (a record in the history of this competition among men).

  48. Al-Nasr https://al-nasr.com.az your source of news and information about Al-Nasr Football Club . Find out the latest results, transfer news, player and manager interviews, fixtures and much more.

  49. You have a source of the latest and most interesting sports news from Kazakhstan: “Kazakhstan sports news https://sports-kazahstan.kz: Games and records” ! Follow us to receive updates and interesting news every minute!

  50. Latest news and information about the NBA https://basketball-kz.kz in Kazakhstan. Hot stories, player transfers and highlights. Watch the NBA world with us.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *