Maktaba ya Kila Siku: November 17, 2020

PROF. KABUDI ALIVYOPOKELEWA WIZARANI BAADA YA KULA KIAPO IKULU CHAMWINO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi wa wizara alipokaribishwa Wizarani baada ya kuapishwa. Matukio katika picha yakionesha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi alipopokelewa na …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AWAAGIZA WATENDAJI WA WIZARA KUCHAPAKAZI KWA BIDII ZAIDI

Na. Peter Haule na Farida Ramadhani, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amewataka watumishi wa Wizara yake kuhakikisha wanasimamia kikamilifu mapato na matumizi ya fedha za umma ili kufanikisha malengo ya maendeleo yaliyotolewa na Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, akizindua Bunge la 12. Hayo aliyasema wakati …

Soma zaidi »