Maktaba ya Kila Siku: November 19, 2020

KAMERA 306 ZENYE UWEZO WA KUMTAMBUA MHALIFU ZAKABIDHIWA WIZARA YA ULINZI

Asteria Muhozya na Issa Mtuwa, Mirerani Kwa mara nyingine tena Ukuta unaozunguka Migodi ya Tanzanite Mirerani wenye urefu wa kilomita 24.5 umeingia kwenye historia nyingine baada ya kufungwa jumla ya Kamera 306 za Usalama zenye uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote ikiwemo kumbaini mhalifu. Kamera hizo zimewekwa kufuatia kuwepo …

Soma zaidi »

BENKI YA NMB YAZINDUA ATM YA KWANZA YENYE UWEZO WA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI NCHINI

Benki ya NMB imezindua mashine ya kutolea fedha (Automated Teller Machine – ATM) ya kwanza nchini Tanzania yenye uwezo wa kubadili fedha za kigeni kwenda shilingi za kitazania. Hatua hiyo imetajwa kuwa ni muhimu kwa Benki ya NMB ya utoaji huduma kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nje na watalii wanaokuja nchini …

Soma zaidi »