Maktaba ya Kila Siku: November 25, 2020

RC KUNENGE AWAHAKIKISHIA WANANCHI WA KIFURU, CHANIKA NA GONGOLAMBOTO KUANZA KUPATA MAJI SAFI IFIKAPO DISEMBA 31 BAADA YA UJENZI WA TANK LA LITA MILIONI MBILI KUKAMILIKA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewahakikishia wakazi wa Kifuru na Chanika kuanza kupata huduma Bora za Maji safi ifikapo Disemba 31 ikiwa ni utekelezaji wa agizo na ahadi aliyotoa Rais Dkt. John Magufuli kwa Wananchi wakati wa mkutano wa kampeni Jijini humo.RC Kunenge akiambatana na …

Soma zaidi »

KUELEKEA MPANGO MKAKATI WA 5 WA SEKTA YA AFYA, SERIKALI YAJIDHATITI KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA KWA WANANCHI

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Mabula Mchembe (hayupo kwenye picha) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Kitaalam wa tathmini ya utekelezaji katika Sekta ya Afya uliohudhuriwa na Wadau wa Sekta ya Afya nchini, Jijini Dodoma. Serikali, kupitia …

Soma zaidi »