Maktaba ya Kila Siku: November 24, 2020

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI 3, MZUMBE UNIVERSITY, MUHAS NA UDOM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi 3 kama ifuatavyo; Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe. Dkt. Shein anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Barnabas A. Samatta ambaye anamaliza …

Soma zaidi »

SERIKALI YASHAURIWA KUWAAMINI WAKANDARASI WAZAWA

Na Jumbe Ismailly SINGIDA Serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara ya ujenzi imeshauriwa kuendelea kuwaamini Wakandarasi wazawa kuwa wana uwezo wa kujenga kwa viwango vinavyotakiwa na kukamilisha kwa wakati kazi za ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja. Akitembelea na kukagua shughuli za ujenzi wa barabara pamoja na …

Soma zaidi »

MGANGA MKUU WA SERIKALI – TUMEONGEZA UWEZO WA KUGUNDUA WAGONJWA WAPYA WA KIFUA KIKUU

Na Englibert Kayombo WAMJW – Dodoma Serikali ya Tanzania imeazimia kutokomeza kabisa ugonjwa wa kifua kikuu kwa kuongeza uwezo wa ugunduzi wa wagonjwa wapya wa kifua kikuu na kuwaweka kwenye matibabu. Kauli hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi alipokuwa akifungua mkutano wa mwaka wa Mpango wa …

Soma zaidi »

RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE AMEWATAKA VIJANA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUZICHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

Rais Mstaafu ,Dkt Jakaya Kikwete  amewataka vijana wa jumuiya ya Afrika Mashariki kuhakikisha  wanashiriki kikamilifu katika jumuiya ya Afrika mashariki na kuweza kuzichangamkia fursa zilizopo.Aliyasema hayo jana wakati akifungua mkutano wa vijana wa jumuiya ya Afrika mashariki (YouLead)uliofanyika  mkoani Arusha. Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akipiga selfie na Vijana na …

Soma zaidi »