Maktaba ya Kila Siku: November 29, 2020

SERIKALI IMEANZA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA BIASHARA KATIKA SEKTA YA MISITU

Serikali imeanza kuweka mazingira mazuri yatakayowezesha sekta ya misitu kuchangia kikamilifu katika ukuaji wa uchumi; kuwaongezea wananchi kipato na kuzalisha ajira. Naibu Kamishna wa Uhifadhi – TFS Mohamed Kilongo anasema hatua hiyo inalenga kuimarisha utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji Nchini ili shughuli za uchumi na …

Soma zaidi »