Maktaba ya Kila Siku: November 12, 2020

WABUNGE WAMPONGEZA KASSIM MAJALIWA KUPITISHWA JINA LAKE KUCHAGULIWA KUWA WAZIRI MUU

Aliyekuwa Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackoson, ameshinda tena nafasi hiyo kwa kupata kura 350 kati ya Kura 354 zilizopigwa. Naibu Spika wa bunge la 12 Dk.Tulia Ackson kupitia CCM akiwashukuru wabunge waliomchagua kwa kishindo wakati wa Bunge la 12 Jijini Dodoma leo …

Soma zaidi »

DC CHONGOLO AFANYA ZIARA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU SHULE YA MSINGI BOKO

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo ametembelea shule ya msingi Boko kwa lengo la kukagua changamoto zilizojitokeza katika miundombinu ya shule hiyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na uongozi wa shule katika ziara hiyo Chongolo ameeleza kuwa eneo hilo limekuwa na changamoto ya kujaa maji nyakati za mvua …

Soma zaidi »

ALLAN KIJAZI AKABIDHI MAGARI 9 YA MRADI WA KUSIMAMIA MALIASILI NA KUKUZA UTALII KUSINI MWA TANZANIA

Kamishna wa Uhifadhi TANAPA na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi jijini Dodoma amekabidhi magari 9 ya Mradi wa Kusimamia Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Hifadhi za Mikumi, Ruaha na Udzungwa. Dkt.Kijazi amesema kuwa magari haya yatatumika …

Soma zaidi »

SERIKALI KUSHUGHULIKIA SANAA, BURUDANI PAMOJA NA MICHEZO – RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati akizindua rasmi Baraza hilo la 10. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane itawekeza …

Soma zaidi »