Maktaba ya Mwaka: 2020

WAKUU WA MIKOA,WAKUU WA WILAYA MSIWE NA WASIWASI CHAPENI KAZI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewatoa hofu Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwani ameanza nao na atamaliza nao. Rais Magufuli amesema hayo katika hafla ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA MUHULA WA PILI KATIKA AWAMU YA TANO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za Uapisho wake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Muhula wa Pili katika Awamu Tano leo tarehe 05 Novemba 2020 katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. Rais …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC MARA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI KITI CHA URAIS JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Cheti cha Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage mara baada ya kutangazwa mshindi kwa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi …

Soma zaidi »

SERIKALI YA TANZANIA YATIA SAINI MKATABA WA HGA NA WAWEKEZAJI WA MRADI WA EACOP.

Na.Vero Ignatus Arusha. Majadiliano ya kutia saini mkataba wa nchi hodhi baina ya Total na Serikali ya Tanzania juu ya utekelezaji wa mradi wa EACOP umefanyika leo Jijini Arusha katika hotel ya Grad melia.  Utiaji wa saini wa makubaliano ya awali ya Afrrika ya mashariki (EACOP )kati ya serikali ya …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ASHUHUDIA UZINDUZI WA MSIKITI, CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 26 Oktoba, 2020 ameshuhudia uzinduzi wa Msikiti wa Sheikh Abubakar Zubeir Ally uliojengwa Chamwino Mkoani Dodoma kwa gharama ya shilingi Milioni 319.3 zilizotokana na michango ya viongozi, taasisi na watu mbalimbali. Ujenzi wa Msikiti huo ulianza tarehe …

Soma zaidi »