MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA MWANASHERIA MKUU

Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma pamoja na Spika Job Ndugai wakiwa katika hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi IKulu Chamwino Leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi Novemba 09,2020 baada ya Hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali IKulu Chamwino Leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 09,2020 ameshiriki kwenye hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali IKulu Chamwino.
Ad

Unaweza kuangalia pia

KWA MARA YA KWANZA WATAALAMU WAZAWA WAZIBUA MISHIPA PACHA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 95

Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.