Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia sakafu ya pili (gorofa ya pili) ya barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi Louis kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2020
MRADI HUU NI MATOKEO CHANYA YA MIRADI INAYOFANYA NA SERIKALI – RAIS MAGUFULI
Muonekano wa jengo la kituo kipya cha mabasi wa mkoani linaloendelea kujengwa katika eneo la Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam Rais Dkt. John Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale mara baada ya kukagua …
Soma zaidi »MKE WA RAIS WA MALAWI ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA
Afisa Elimu Mwandamizi wa Makumbusho ya Taifa, Bibi Anamary Bagenyi akitoa maelezo kuhusu sanaa za sasa kwa wake wa Marais wa Jamhuri ya Malawi na Tanzania walipotembelea Makumbusho ya Taifa Mhifadhi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Amandus Kweka akitoa maelezo kwa Wake wa Marais Malawi na Mama Monica Chakwera …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ATOA SIKU TATU KWA WIZARA YA KILIMO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa mbolea ya YARA ili kuhakiki na kupata ithibati ya mbolea ya bure itakayogawiwa kwa wakulima wadogo nchini kupitia mpango wa Action Africa. Ametoa wito huo (Jumatano, Oktoba 7, 2020) …
Soma zaidi »AIRTEL YASHIRIKIANA NA WORDREMIT KUZINDUA HUDUMA YA KUPOKEA PESA KIMATAIFA
Mkurugenzi wa Airtel Money, Isack Nchunda akizungumza wakati wa kutangaza ushirikiano wa Airtel Money na Kampuni ya Malipo ya Kimataifa ya WordRemit ya kuwezesha wateja wa Airtel Money kupokea Pesa moja kwa moja kutoka nchi zaidi ya 50 duniani wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jijini . Kushoto …
Soma zaidi »RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA MALAWI DKT. LAZARUS CHAKWERA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1 Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba …
Soma zaidi »MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA MABASI MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM
Maendeleo ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam. Rais Dkt. John Magufuli na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera wanatarajia kuweka jiwe la msingi katika ujenzi Kituo cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam Rais wa Malawi Dkt. …
Soma zaidi »USWISS YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BILIONI 44.1 KWA AJILI YA KUONDOA UMASIKINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Balozi wa Uswiss nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot,wakionesha Mikataba miwili ya msaada wa Faranga za Uswis milioni 17.8 sawa na Sh. bilioni 44.1 kwa ajili ya kugharamia Awamu ya Pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) …
Soma zaidi »BILIONI 13 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI VIJIJINI MKOANI GEITA
Wananchi wa vijijini mkoani Geita watanufaika na huduma ya majisafi kutoka asilimia 60 hadi kufikia asilimia 75 ifikapo mwezi Desemba, 2020 baada ya kiasi cha shilingi bilioni 13 kupangwa kukamilisha miradi ya maji. Meneja wa Wakala wa Usambazaji Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Geita Mhandisi Nicas …
Soma zaidi »DKT KALEMANI AAGIZA WANANCHI WAUNGANISHIWE UMEME NDANI SIKU 21
Hafsa Omar-Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ametoa agizo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Nishati Vijijini( REA) pamoja na wakandarasi wote kuhakikisha kuwa wananchi wote waliolipia huduma ya umeme waunganishiwe umeme ndani ya siku 21. Alitoa agizo hilo Oktoba 5,2020 wakati akiwa kwenye ufunguzi …
Soma zaidi »