MKE WA RAIS WA MALAWI ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA Matokeo ChanyA+ October 8, 2020 IKULU, MAWASILIANO IKULU, MKOA WA DAR ES SALAAM Acha maoni 758 Imeonekana Afisa Elimu Mwandamizi wa Makumbusho ya Taifa, Bibi Anamary Bagenyi akitoa maelezo kuhusu sanaa za sasa kwa wake wa Marais wa Jamhuri ya Malawi na Tanzania walipotembelea Makumbusho ya Taifa Mhifadhi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Amandus Kweka akitoa maelezo kwa Wake wa Marais Malawi na Mama Monica Chakwera Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli walipotemebelea chumba maalum cha kutunzia vitu vya thamani vya urithi wa asili na utamaduni wa Tanzania Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest