RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU UBUNGO FLYOVER JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia sakafu ya pili (gorofa ya pili) ya barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi Louis  kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya Mikoani leo tarehe 08 Oktoba 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi walipokuwa wakipita pembezoni mwa Daraja la Juu Ubungo flyover jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale wakati akiangalia mfano wa Ubungo Flyover utakavyokua mara baada ya kukamilika kwake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale wakati akiangalia mfano wa Ubungo Flyover utakavyokua mara baada ya kukamilika kwake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakati akikagua kazi za ujenzi wa barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi Louis kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya Mikoani leo tarehe 08 Oktoba 2020. PICHA NA IKULU 
Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Bw. Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *