Maktaba ya Mwaka: 2020

MRADI WA PERI URBAN KUKAMILIKA KWA WAKATI

Hafsa Omar-Dodoma Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja amewataka wakandarasi wanaotekeleza mradi wa Umeme katika Vijiji vilivyo pembezoni mwa Mji (Peri-Urban) kukamilisha utekelezaji wa miradi yao ndani ya muda uliopangwa. Ameyasema hayo,Agosti 19,2020,wakati alipokuwa kwenye kikao na  Wakandarasi  wa mradi wa Per-Urban, kilichofanyika katika ofisi za Wizara …

Soma zaidi »

UJENZI WA OFISI ZA PAPU KUGHARIMU SHILINGI BILIONI 33.7

Serikali yaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la ghorofa 17 za ofisi ya Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) unaoendelea kufanyika mkoani Arusha Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula ambapo jana alitembelea na kukagua maendeleo …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA AISHUKIA HALMASHAURI YA USHETU KUSHINDWA KUTOA HATI KWA MIAKA MINNE

Na Munir Shemweta, WANMM USHETU Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameshangazwa na halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kushindwa kutoa Hati ya Ardhi hata moja kwa wananchi katika kipindi cha miaka minne. Dkt Mabula alishangazwa na hali hiyo akiwa katika ziara yake ya kikazi …

Soma zaidi »

DC CHONGOLO ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA STANDI YA DALADALA MWENGE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amesema kuwa ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Stendi ya kisasa ya Daladala ya Mwenge inayojengwa kwa kiasi cha Shilingili Bilioni tano fedha zinazotokana na makusanyo ya ndani ya Manispaa hiyo. Chongolo ametoa kauli hiyo leo wakati alipofanya ziara yake ikiwa ni muendelezo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAUNDA TIMU MAALUM KUMSIMAMIA MKANDARASI WA REA KILIMANJARO

Veronica Simba – Kilimanjaro Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameunda Timu maalumu inayojumuisha wataalamu mbalimbali wa Serikali ili kumsimamia Mkandarasi anayetekeleza miradi ya umeme vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Alitangaza uamuzi huo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kitongoji cha Kambi ya Nyuki, wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Agosti …

Soma zaidi »

KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KINAENDELEA LEO, IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea Ikulu Chamwino Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti …

Soma zaidi »