Maktaba ya Mwaka: 2020

WAFANYABIASHARA KANDA YA ZIWA WATAKIWA KUZALISHA ZAIDI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewataka wafanyabiashara wa ukanda wa Ziwa Victoria kuongeza uzalishaji wa bidhaa za samaki, matunda, nyama na mbogamboga ili kuwezesha uwepo wa safari za uhakika za ratiba kwa mashirika ya ndege kutoka nje ya nchi kupitia mkoa wa Mwanza. Akizungumza mara baada …

Soma zaidi »

MALI ZOTE ZA WAKULIMA WA MKONGE KURUDISHWA -WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la mkonge nchini zinarudishwa mikononi mwao na hakuna mtu yeyote atakayeonewa.“Tutarudisha mali zote za wakulima na ninawahakikishia hakuna mtu yoyote atakayeonewa, kama tulivyorudisha hizi mali za …

Soma zaidi »

WAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI

Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani. Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia mfumo huo, mazao mengine ni Ufuta ambao utauzwa kwa mfumo huo katika baadhi ya maeneo nchini. Waziri wa Kilimo …

Soma zaidi »

WAZIRI KAMWELWE APOKEA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amepokea Kivuko cha MV Kigamboni kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika eneo la Kigamboni jijini Dar es salaam. Ukarabati huo umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.09. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amepokea Kivuko cha MV Kigamboni kilichofanyiwa ukarabati mkubwa …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU WA MAWASILIANO AKUTANA NA BODI YA UCSAF

Na Prisca Ulomi, WUUM, Dodoma Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainab Chaula amepokea changamoto kutoka kwa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya huduma za mawasiliano ya redio ya uhakika kwenye maeneo mbali mbali nchini Dkt. Chaula amepokea changamoto …

Soma zaidi »

MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI, WATEJA WA AWALI KUUNGANISHWA BURE

Na Zuena Msuya Lindi, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ( TPDC) itasambaza na kuunganisha bila malipo (bure) miundombinu ya usambazaji wa Gesi asilia kwa matumizi ya majumbani kwa wateja wa awali katika mikoa yote  nchini itayofikiwa na huduma hiyo. …

Soma zaidi »

PROF. SHEMDOE -TUWEKEZE KWENYE VIWANDA VINAVYOTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe amewataka Watanzania kuwekeza katika sekta ya viwanda vinavyotumia malighafi za ndani. Prof. Shemdoe aliyasema hayo Mkoani Simiyu alipokuwa katika ziara ya siku moja kutembelea Viwanda katika Mkoa huo. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu na ujumbe wake walipata fursa ya kutembelea …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria …

Soma zaidi »