WATALII WAANZA KUINGIA NCHINI

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakishuhudia na kuzungumza na baadhi ya watalii waliokuwa wakikamilisha taratibu mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa  KIA.  
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakizungumza na baadhi ya watalii walio wakikamilisha taratibu mbalimbali walipowasili uwanja wa KIA.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakishuhudia na kuzungumza na baadhi ya watalii waliokuwa wakikamilisha taratibu mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa KIA.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Je! Wajua Mchango wa Madini ya Tanzanite katika Pato la Taifa?

Madini ya Tanzanite, yanayopatikana pekee katika eneo dogo la Mererani, Tanzania, ni miongoni mwa rasilimali …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *