RAIS SAMIA AWATAKA WAKUU WA MIKOA KUWAPANGA WAMACHINGA

Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kuwapanga upya Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga, bila kutumia nguvu ili wafanye biashara zao kwa kufuata taratibu zilizowekwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Makame Mbarawa (Mb) kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Septemba, 2021.

Rais Samia ametoa agizo hilo leo mara baada ya kuwaapisha viongozi aliowateua jana tarehe 12 Septemba, 2021 katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.

Ad
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Septemba, 2021.

Rais amesema Serikali ilitoa fursa kubwa kwa Wamachinga kufanya biashara za kujipatia kipato kwa uhuru lakini wametumia fursa hiyo vibaya na kufanya biashara kiholela ambapo baadhi yao hupanga bidhaa nje ya maduka na kuwazuia wenye maduka kufanya biashara, kitendo ambacho kinaikosesha Serikali kodi toka kwa wafanyabiashara hao.

Aidha, Rais Samia amewataka viongozi aliowaapisha na walio katika nafasi mbalimbali za uongozi kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa kuwa mabadiliko aliyofanya katika Baraza la Mawaziri ni ya kawaida lakini ni endelevu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Januari Yusuf Makamba (Mb) kuwa Waziri wa Nishati katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Septemba, 2021.

Rais Samia amewataka watendaji Serikalini kuendesha shughuli zao kwa vitendo ili kuwaletea wananchi maendeleo  na si kwa maneno makali ambayo  hayana tija kwa maendeleo ya wananchi.

Viongozi mbalimbali walioteuliwa Wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma katika hafla iliyofanyika katika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Septemba 2021. Kutoka kulia ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa (Mb), Waziri wa Nishati Januari Yusuf Makamba (Mb) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax (Mb), pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi

Awali, Rais Samia amemuapisha Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Prof.Makame Mnyaa Mbarawa kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, January Yusuf Makamba, kuwa Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Dkt.Stergomena Lawrence Tax, kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Septemba, 2021.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Yustino Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma na viongozi mbalimbali wa Serikali na vyama vya Siasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji …

553 Maoni

  1. Jannik Sinner https://tennis.jannik-sinner-fr.biz an Italian tennis player, went from starting his career to entering the top 10 of the ATP, demonstrating unique abilities and ambitions in world tennis.

  2. Carlos Alcaraz https://tennis.carlos-alcaraz-fr.biz from a talented junior to the ATP top 10. His rise is the result of hard work, support and impressive victories at major world tournaments.

  3. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  4. The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.

  5. Discover Casper Ruud’s https://tennis.casper-ruud-fr.com journey from his Challenger debut to the top 10 of the world tennis rankings. A unique success.

  6. The story of Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso-fr.com in Formula 1: a unique path to success through talent, tenacity and strategic decisions, inspiring and exciting.

  7. The fascinating story of how Lewis Hamilton https://mercedes.lewis-hamilton-fr.biz became a seven-time Formula 1 world champion after signing with Mercedes.

  8. The legendary boxing world champion Mike Tyson https://ufc.mike-tyson-fr.biz made an unexpected transition to the UFC in 2024, where he rose to the top, becoming the oldest heavyweight champion.

  9. The fascinating story of the creation and rapid growth of Facebook https://facebook.mark-zuckerberg-fr.biz under the leadership of Mark Zuckerberg, who became one of the most influential technology entrepreneurs of our time.

  10. The story of Joe Biden’s https://president-of-the-usa.joe-biden-fr.com triumphant journey, overcoming many obstacles on his path to the White House and becoming the 46th President of the United States.

  11. Kim Kardashian’s https://the-kardashians.kim-kardashian-fr.com incredible success story, from sex scandal to pop culture icon and billion-dollar fortune.

  12. The astonishing story of Emmanuel Macron’s https://president-of-france.emmanuel-macron-fr.com political rise from bank director to the highest office in France.

  13. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  14. Une ascension fulgurante au pouvoir Donald Trump https://usa.donald-trump-fr.com et son empire commercial

  15. Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.

  16. Travel to the pinnacle of French football https://stadede-bordeaux.bordeaux-fr.org at the Stade de Bordeaux, where the passion of the game meets the grandeur of architecture.

  17. The fascinating story of Gigi Hadid’s rise to Victoria’s Secret Angel https://victorias-secret.gigi-hadid-fr.com status and her journey to the top of the modeling industry.

  18. Olympique de Marseille https://liga1.marseilles-fr.com after several years in the shadows, once again becomes champion of France. How did they do it and what prospects open up for the club

  19. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  20. The inspiring story of Travis Scott’s https://yeezus.travis-scott-fr.com rise from emerging artist to one of modern hip-hop’s brightest stars through his collaboration with Kanye West.

  21. An exploration of Nicole Kidman’s https://watch.nicole-kidman-fr.com career, her notable roles, and her continued quest for excellence as an actress.

  22. A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.

  23. How Taylor Swift https://midnights.taylor-swift-fr.com reinvented her sound and image on the intimate and reflective album “Midnights,” revealing new dimensions of her talent.

  24. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  25. The iconic Anfield https://enfield.liverpool-fr.com stadium and the passionate Liverpool fans are an integral part of English football culture.

  26. Единственная в России студия кастомных париков https://wigdealers.ru, где мастера индивидуально подбирают структуру волос и основу по форме головы, после чего стригут, окрашивают, делают укладку и доводят до идеала ваш будущий аксессуар.

  27. The new Premier League https://premier-league.chelsea-fr.com season has gotten off to an intriguing start, with a new-look Chelsea looking to return to the Champions League, but serious challenges lie ahead.

  28. купить дипломы недорого [url=https://asxdiplomik24.ru/]купить дипломы недорого[/url] .

  29. Inter Miami FC https://mls.inter-miami-fr.com has become a major player in MLS thanks to its star roster, economic growth and international influence.

  30. Explore the career and significance of Monica Bellucci https://malena.monica-bellucci-fr.com in Malena (2000), which explores complex themes of beauty and human strength in wartime.

  31. Discover Rafael Nadal’s https://mls.inter-miami-fr.com impressive rise to the top of world tennis, from his debut to his career Grand Slam victory.

  32. Tyson Fury https://wbc.tyson-fury-fr.com is the undefeated WBC world champion and reigns supreme in boxing’s heavyweight division.

  33. Преимущества аренды склада https://dvedoli.com/dom/vidy-skladov-dlya-arendy-osobennosti-preimushhestva.html, как аренда складских помещений может улучшить ваш бизнес

  34. The fascinating story of the phenomenal rise and meteoric fall of Diego Maradona https://napoli.diegomaradona.biz, who became a cult figure at Napoli in the 1980s.

  35. Explore the remarkable journey of Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior.net, the Brazilian prodigy who conquered the world’s biggest stage with his dazzling skills and unparalleled ambition at Real Madrid.

  36. Преимущества аренды склада https://vyvozmusorascherbinka.ru/preimushhestva-arendy-sklada-kak-optimizirovat-biznes-proczessy-i-snizit-izderzhki/, как аренда складских помещений может улучшить ваш бизнес

  37. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  38. A fascinating story about Brazilian veteran Thiago Silva’s https://chelsea.thiago-silva.net difficult path to the top of European football as part of Chelsea London.

  39. купить диплом нефтяного [url=https://asxdiplomik.com/kupit-diplom-moskva/]asxdiplomik.com/kupit-diplom-moskva[/url] .

  40. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  41. Follow Bernardo Silva’s impressive career https://manchester-city.bernardosilva.net from his debut at Monaco to to his status as a key player and leader of Manchester City.

  42. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  43. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristianoronaldo-br.net one of the greatest football players of all time, begins a new chapter in his career by joining An Nasr Club.

  44. The fascinating story of Marcus Rashford’s rise https://manchester-united.marcusrashford-br.com from academy youth to the main striker and captain of Manchester United. Read about his meteoric rise and colorful career.

  45. официальный сайт драгон мани казино Dragon Money

  46. Хотите научиться готовить самые изысканные и сложные торты? В этом https://v1.skladchik.org/tags/tort/ разделе вы найдете множество подробных пошаговых рецептов самых трендовых и известных тортов с возможностью получить их за сущие копейки благодаря складчине. Готовьте с удовольствием и открывайте для себя новые рецепты вместе с Skladchik.org

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *