Maktaba ya Kila Siku: September 9, 2021

DKT. MWIGULU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA MISRI

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewakaribisha Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Misri kuwekeza na kufanya biashara na Tanzania kutokana na uwepo wa mazingira rafiki na fursa za uwekezaji. Waziri nchemba ametoa rai hiyo mjini Cairo Misri, wakati wa Kongamano la Kimataifa la Ushirikiano la Misri (Egypt International …

Soma zaidi »

WAZIRI DKT.NDUMBARO AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUWA NA KAULI MOJA KUHUSIANA NA BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei  za wanyamapori  katika biashara uwindaji wa kiutalii Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao  ana  kwa ana na baadhi ya  mawaziri wa Utalii wa nchi za Afrika katika …

Soma zaidi »