KILA MWANANCHI AENDELEE KULINDA MAZINGIRA KWA MUSTAKABALI WA NCHI YETU – JAFO

Uongozi wa Jumuiya ya Ismaili wakiwa katika picha ya Pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo, amesema kila Mwananchi ashiriki katika kulinda na kuhifadhi mazingira  kwa mustakabali wa Nchi  ili iendelee kubaki salama. Suala la Mazingira ni jambo kubwa sana linahitaji ushiriki wa kila mtu katika kusimamia na kuyalinda.

Ameyasema hayo alipokuwa Mgeni Rasmi kweye hadhara ya maadhimisho ya Jumuiya ya Ismaili iliyofanyika Jijini Dar es salaam katika Shule ya Msingi Muhimbili na Umoja wa Mataifa. Mhe. Jafo amesema kuwa kwa Jamii ya Ismaili kufanya sherehe hii kwa kuangazia upande wa mazingira imemfurahisha sana akiwa kama Waziri upande wa mazingira ameona ni jambo jema la kuhamasisha na kusisitiza jamii kusimamia na kulinda mazingira.

Ad
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo akishiriki katika zoezi la upandaji miti.

“Tumeona mmefanya kwa vitendo Zaidi katika suala la utunzaji wa mazingira na tumeshiriki kwa pamoja katika upandaji miti ambalo ni jambo zuri na inapendeza, itakuwa mfano katika jiji letu la Dar es Salaam na kwa Tanzania Nzima” Amesema Jafo

Ameendelea kusema kuwa suala la upandaji miti na kuweka elimu ya mazingira kwa Watoto  na uzalendo ni vitu vilimvyomfurahisha sana Jafo amesema kuwa kama Jumuiya mbalimbali za dini zitaiga mfano mzuri unaofanywa na Jumuiya hii ya Ismaili basi Tanzania yetu itakuwa salama kwa upande wa Mazingira.

“Tuendelee kupanda miti na tupunguze matumizi ya mkaa na kuni kwani hali ya kimazingira kwa sasa inatisha sisi Watanzania kwa umoja wetu tuungane kwa pamoja kuepusha athari ya mabadiliko ya Tabianchi. Taifa limeingia katika uchumi wa Kati ili tuweze kwenda mbele Zaidi basi tunahaja ya kulinda na kuhifadhi mazingira yetu.” Amesema Jafo

Sehemu ya watu ya Jumuiya ya Ismail wakisikiliza hotuba inayotolewa na Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ng’wilabuzu Ludigija amesema kuwa Jumuiya hii imeonyesha mfano kwa jumuiya zingine kwani wanashiriki katika masuala mbalimbali ya kijamii ikiwemo  usafi na utunzaji wa mazingira pia katika maafa mbalimbali Jumuiya hiyo imekuwa mstari wa mbele.

Naye Mwakilishi wa Taasisi ya Aga Khan Nchini Tanzania Amin Kurji ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kujenga Mazingira wezeshi kwa wawekezaji binafsi katika maendeleo ya jamii ya Tanzania, na jinsi hali hiyo ilivyo muhimu kwa kazi  za kuleta mendeleo, Urafiki kati ya Ismaili Imamat na Taasisi zake na Serikali ya Tanzania ni wa muda mrefu na wa manufaa.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

169 Maoni

  1. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  2. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  3. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  4. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  5. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  6. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  7. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  8. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  9. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  10. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  11. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  12. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  13. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  14. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  15. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  16. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  17. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  18. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *