MAKAMU WA RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE NA WASICHANA KATIKA SAYANSI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Sayansi kutoka kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Shule ya Msingi Kawe alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biology kutoka kwa Mwanafunzi Aisha Yahya wa Shule ya Sekondari Juhudi alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Fani ya Umeme kutoka kwa Mwanafunzi Esther Fabian wa Chuo cha VETA Dar es salaam alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biomedical Equipment Engineering kutoka kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Viatu vya aina mbalimbali vinavyotengenezwa na Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biomedical Equipment Engineering kutoka kwa Mwanafunzi Dotnatha Ntunga wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Washiriki

Ad

Unaweza kuangalia pia

BEI KIKOMO ZA PETROLI KWANZIA MEI 1 2024

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *