MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA NJE YA NCHI WAHIMIZWA KUONGEZA JUHUDI ZA KUTAFUTA MASOKO

Mabalozi wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya Nchi wameelekezwa kujipanga, kushiriki na kutafuta fursa zitakazowezesha bidhaa mbalimbali za Tanzania kupata masoko ya  uhakika katika nchi walizopo.

Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi wakati akizungumza na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi na kuongeza kuwa , Ilani ya Chama cha Mapinduzi  inatamka bayana juu ya diplomasia ya uchumi sambamba na  kuimarisha sauti ya Tanzania na taswira yake katika medani ya uhusiano wa kikanda na kimataifa. 

Ad
Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani

Prof. Kabudi ameongeza kuwa ili kufanikisha hilo Balozi zinapaswa kuimarisha ushiriki wa Tanzania katika jumuiya nyingine za kimataifa zikiwemo, Indian Ocean Rim Association, Indian Ocean Tuna Commission, South South Commission, South West Indian Ocean Fisheries Commission.

Aidha amewataka Mabalozi hao kuzingatia maelekezo ya  Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi aliyoyatoa wakati akizundua Baraza la Wawakilishi ya kutaka Uchumi wa Bluu kupitia uvuvi wa Bahari Kuu unakuwa na manufaa kwa Wananchi hususani katika kuongeza mapato, ajira na kukuza uchumi kwa kuzingatia kuwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ni ya Muungano. 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi

Pia Prof. Kabudi amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Watanzania waishio nje ya nchi (Diaspora) katika maendeleo ya Taifa na kuzielekeza  Balozi zianze na ziboreshe kanzi data ya Diapora ikiwa ni pamoja na kuwahimiza kuanzisha Jumuiya zao. 

Natambua kazi hiyo inaendelea na kwa sasa tuna data za diaspora takriban 98,658 na kuna jumuiya 77 za diaspora. Nichukue fursa kusisitiza umuhimu wa Balozi zetu kuboresha na kuharakisha zoezi hili kwa kubuni njia mbalimbali za kuwaandikisha”. Amesema Prof. Kabudi

Mkutano huo wa Prof. Palamagamba John Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi umehudhuriwa pia na Naibu Waziri, Mhe William Tate Ole Nasha,Katibu Mkuu Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

14 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. The path of 21-year-old Jude Bellingham https://realmadrid.jude-bellingham-cz.com from young talent to one of the most promising players in the world, reaching new heights with Dortmund and England.

  3. Sports news https://gta-uzbek.com the most respected sports site in Uzbekistan, which contains the latest sports news, forecasts and analysis.

  4. Serxio Ramos Garsiya https://serxio-ramos.com ispaniyalik futbolchi, himoyachi. Ispaniya terma jamoasining sobiq futbolchisi. 16 mavsum davomida u “Real Madrid”da markaziy himoyachi sifatida o’ynadi.

  5. Lionel Messi https://inter-miami.lionel-messi-fr.com legendary Argentine footballer, announced his transfer to the American club Inter Miami.

  6. Find out the story of Jon Jones https://ufc.jon-jones-fr.biz in the UFC: his triumphs, records and controversies, which made him one of the greatest fighters in the MMA world.

  7. The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.

  8. Единственная в России студия кастомных париков https://wigdealers.ru, где мастера индивидуально подбирают структуру волос и основу по форме головы, после чего стригут, окрашивают, делают укладку и доводят до идеала ваш будущий аксессуар.

  9. реристрация Dragon Money Casino https://uvstyle.ru

  10. The incredible story https://napoli.khvichakvaratskhelia-br.com of a young Georgian talent’s transformation into an Italian Serie A star. Khvicha Kvaraeshvili is a rising phenomenon in European football.

  11. Midfielder Rafael Veiga leads https://manchester-city.philfoden-br.com Palmeiras to success – the championship Brazilian and victory in the Copa Libertadores at the age of 24.

  12. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  13. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *