Maktaba ya Kila Siku: March 16, 2021

KAMATI YA BUNGE VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI WA VIWANDA YALIYO CHINI YA EPZA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile(Mb) huku ikiwa imeambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe ikiendelea na ziara yake katika Maeneo Maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje (EPZA) Ubungo, Dar es salaam. …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WAITARA AWAAGIZA WENYE VIWANDA WOTE NCHINI KUAJIRI WATAALAMU WA MAZINGIRA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara akiangalia mfereji wa majitaka yanayotiririka kutoka kiwanda cha Keds Tanzania Company Ltd kilichopo mjini Kibaha mkoani Pwani wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za mazingira. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) …

Soma zaidi »