MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU Matokeo ChanyA+ September 15, 2021 Makamu wa Rais, Waziri Mkuu Acha maoni 568 Imeonekana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest