Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) wamerejea Tanzania na kutoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na jitihada za kuwarejesha nyumbani. Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) baada ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona na kusababisha mashirika mbalimbali ya ndege kufunga safari …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
RAIS MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA IKULU YA CHAMWINO
Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi John Simbachawene kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya.Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Phaustine Kasike kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 21 Mei 2020. Rais, Dkt. John Pombe Magufuli …
Soma zaidi »TUMEKUBALIANA NA RAIS KENYATTA MAWAZIRI WETU WA UCHUKUZI NA WAKUU WA MIKOA KUKUTANA KUMALIZA TATIZO LA MIPAKANI – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt John Magufuli amesema kuwa Viongozi wa Mikoa wasitatue matatizo kwa jazba, na badala yake amewataka viongozi hao kukutana na kutatua changamoto iliyopo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nzega mkoani Tabora (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani Singida. Rais …
Soma zaidi »KITUO KIKUU CHA MABASI CHA DODOMA KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI – MKURUGENZI WA JIJI LA DODOMA
Sehemu ya ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi cha Dodoma inavyoonekana baada ya kukamilika Charles James, Michuzi TVJiji la Dodoma limesema ifikapo Juni 30 mwaka huu ndio itakua mwisho kwa Mabasi makubwa ya abiria kupaki nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ATOA ONYO KWA MTENDAJI MKUU WA TEMESA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimpa onyo, Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Mhandisi Japhet Maselle, baada ya kutoridhishwa na utendaji wake, wakati alipotembelea karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma, May 19, 2020, katikati ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe. ( Picha na …
Soma zaidi »WAZIRI MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI
James K. Mwanamyoto – Chamwino DodomaSerikali imezindua Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Ndege za Serikali ambayo itakuwa na jukumu la kumshauri Waziri mwenye dhamana juu ya namna bora ya kuboresha wakala hiyo ili kuwa na mipango na mikakati endelevu itakayoleta tija katika usafiri wa anga. Akizindua bodi hiyo mapema …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI: LIPIENI TUJUE IDADI YA WATEJA TUSAMBAZE NGUZO TUWAWASHIE UMEME
Na Zuena Msuya Geita Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaambia wanakijiji ambao umeme ushafika katika maeneo yao walipie gharama za kuwashiwa umeme ili kufahamu idadi ya wateja, nguzo zisambazwe na kuunganishwa kulingana na wateja waliopo kwa wakati husika. Dkt. Kalemani alisema hayo wakati akiwasha umeme katika Kijiji cha Rusungwa …
Soma zaidi »MILIONI 150 ZABORESHA MIUNDOMBINU CHUO CHA MICHEZO MALYA.
Na Shamimu Nyaki – WHUSM Serikali imetoa takriban Milioni 150 kukarabati miundombinu ya viwanja vya michezo pamoja na ujenzi wa kisima cha maji katika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambacho ndio chuo pekee nchini kinachozalisha walimu wa sekta hiyo. Akizungumza katika mahojiano maalumu, Mkuu wa Chuo hicho Bw.Richard Mganga …
Soma zaidi »WAZIRI BITEKO: MAKUSANYO SEKTA MADINI YAONGEZEKA KUTOKA BILIONI 39/- HADI BILIONI 58/- KWA MWEZI APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem, Dodoma Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji wa Sekta ya Madini unakua kwa kasi na kuifanya kuwa sekta ya kwanza kwa ukuaji kwa mwaka 2019 ikifuatiwa na sekta ya ujenzi. Ukuaji wa Sekta ya Madini umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia …
Soma zaidi »BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amekagua ofisi mpya za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam na kuitaka Bodi hiyo kujiandaa kulipa wanafunzi wakati wowote vyuo vitakapofunguliwa. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo leo (Jumatatu, Mei 18, …
Soma zaidi »