Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

ALMASI KUBWA YAPATIKANA MKOANI SHINYANGA

Almasi yenye ukubwa wa karati 521 imepatikana katika mgodi wa Mwadui Mkoani Shinyanga tangu mgodi huo uanze uzalishaji miaka 87 iliyopita. Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwake mbele ya waandishi wa Habari  tarehe 30 Aprili, 2019, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amesema almasi hiyo itauzwa ndani ya nchi …

Soma zaidi »

JUMUIA ZA KIMATAIFA ZAHAKIKISHIWA KUIMARISHWA KWA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI,KUKUZA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU

Waziri wa Mambo ya Nje Pro. Palamagamba Kabudi ameihakikishia jumuia za kimataifa kuwa Tanzania itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ambao umejikita katika misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kukuza demokrasia na haki za binadamu kwa mujibu na muktadha wa nchini. Pro. Kabudi ameyasema hayo jijini Dar …

Soma zaidi »