Matokeo ChanyA+
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Ashinda Pambano la Masumbwi Birmingham Uingereza
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (miaka 23) jumapili tarehe 08 Septemba 2018 alimshinda kwa TKO (Technical KnockOut) bondia Muingereza Sam Eggington bondia (miaka 25) Mwakinyo ambaye katika pambano hilo hakuwa anapewa nafasi ya kushinda, alionyesha umahiri wa hali ya juu na kulimaliza pambano katika round ya pili tu. Bondia huyo Mtanzania …
Soma zaidi »LIVE: Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Dodoma
LIVE: Rais Magufuli anahutubia wananchi wa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Stendi Mwanhuzi ambapo Rais Magufuli anawahutubia wananchi wa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bofya link hii ili kutazama
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MKOANI KIGOMA ASUBUHI HII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Soma zaidi »Live: Rais Magufuli amesimamna na kuzungumza na wananchi wa Kisesa- Simiyu
Bofya link Hii kutazama
Soma zaidi »MISS TANZANIA 2018
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akizungumza katika mashindano ya fainali ya kumtafuta Miss Tanzania 2018 yaliyofanyika katika kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere International Convention Centre,jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi »LIVE: Matangazo ya moja kwa moja kutoka Julius Nyerere International Conference Center ambapo Shindano la Miss Tanzania linafanyika
Fuatilia kwa kubofya link hii
Soma zaidi »SIMIYU: Mhe. Rais Magufuli amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Anthony Mtaka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 08 Septemba, 2018 ameendelea na ziara yake katika Kanda ya Ziwa ambapo ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Lamadi na kufungua barabara za Mji wa Lamadi katika Wilaya ya Busega, amefungua jengo la …
Soma zaidi »AFYA: Waziri Ummy Mwalimu aingia kwenye mtego wa Rais Magufuli.
Waziri Ummy Mwalimu aingia kwenye mtego wa Rais Magufuli. “Amejiweka kwenye mtego wangu…kwa sababu fedha zipo…wakandarasi wapo na wagonjwa wapo…,” – Rais Magufuli.
Soma zaidi »