Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

HAKI ZOTE ZA FIDIA KWA WANANCHI ZITALIPWA – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali italipa fidia kwa wananchi katika maeneo ambayo miradi ya Serikali imepita. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Manerumango kwenye uwanja wa shule ya msingi Maneromango wilayani Kisarawe mkoani Pwani. “Nataka niwahakikishie wananchi wote kila kipande cha ardhi cha mtu …

Soma zaidi »

WANAFUNZI 12 WA VYUO VIKUU KWENDA MAURITIUS KUJIFUNZA ELIMU YA MASOKO YA MITAJI

Wadau wamekuwa na mwamko katika sekta ya fedha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali katika kutekeleza mikakati mbalimbali ya kisera kwa lengo la kuongeza uwelewa na kukuza uwekezaji kupitia masoko ya mitaji. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Philip Mpango ameyasema hayo wakati wa kutoa zawadi kwa washindi wa shindano …

Soma zaidi »

MAONESHO HAYA NI FURSA MUHIMU KWA WAJASIRIAMALI – Dkt. TIZEBA

Waziri wa kilimo Dkt Charles Tizeba amewataka wajasiriamali kote nchini kuchangamkia fursa ya kutembelea katika Maonesho ya Kitaifa ya Viwanda Vidogo (SIDO), yanayofanyika katika Viwanja vya Nyakabindi katika Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu. Katika maonesho hayo ambayo yalianza Oktoba 23 mwaka huu, Dkt Tizeba amesema kuwa hiyo ni …

Soma zaidi »