Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

SERIKALI YA AWAMU YA TANO; Miaka mitatu madarakani

• Imejenga hostel bora na za bei nafuu zinazonufaisha wanafunzi zaidi ya 4,000 katika Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ” Kabla ya hostel hivi kujengwa, ilikuwa wanafunzi wanapanga vyumba mitaani.. Pia wengine wanapata vyumba ambavyo viko mbali na chuo ambapo pia inawawia vigumu kwenye usafiri ifikapo asubuhi.. ile kuhangaika …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR AKIZUNGUMZA KATIKA UZIDUNZI WA OFISI MPYA ZA WAKALA WA MATUKIO YA KIJAMII NA MFUMO WA KIDIGITALI WA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa takwimu sahihi ni jambo muhimu kwa serikali katika kupanga maendeleo ya watu wake. Amesema hayo katika uzinduzi wa mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii, huko Dunga Wilaya ya Kati …

Soma zaidi »

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MFUMO MPYA WA KIDIGITALI WA USAJILI YAKAMILIKA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein atazindua mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar September 4,2018 huko Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia saa nne asubuhi. Tazama picha za ofisi mpya za Wakala wa Usajili wa …

Soma zaidi »

WATALII 64 WAWASILI DAR KUPITIA RELI YA TAZARA

Watalii 64 kutoka nchini Ujerumani wamewasili Jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika ya Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ijulikanayo kama ROVOS ya nchini humo. Watalii hao wamekuja Tanzania kwa ajili ya kutembelea maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii hapa nchini ikiwemo mbuga …

Soma zaidi »