Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

Tanzania Inazalisha Chakula Kingi Cha Kutosha – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni, Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi pamoja na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI NA MKURUGENZI WA CRDB

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Hamdi Abuali, Balozi wa Palestina; Mhe. Shinichi Goto, Mhe. Balozi wa Japan na Bwana Abdulmajid Nsekela, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Makamu wa Rais alianza kuonana na Mhe. Hamdi …

Soma zaidi »

PROFESA MBARAWA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MUKABUYE

Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa ameiagiza Kampuni ya KGG Investment Ltd & Tanafri Group Ltd inayojenga Mradi wa Maji wa Mukabuye kuhakikisha inakamilisha mradi huo ifikapo mwezi Disemba, 2018 ili wakazi wa Mukabuye na vijiji jirani wapate huduma ya majisafi na salama. Profesa Mbarawa ametoa maagizo hayo wakati …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU – MRADI WA MAJI CHATO UKAMILIKE KWA WAKATI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Imalabupina/ Ichwankima wilayani Chato ambao una thamani ya sh. bilioni 8.28 na amewaagiza viongozi wa wilaya hiyo wahakikishe unakamilika kwa wakati. Waziri Mkuu amesemaSerikali kupitia Kampeni ya Rais Dkt. John Magufuli ya kumtua mama ndoo kichwani, itahakikisha wananchi …

Soma zaidi »