Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga kutengua uteuzi wa Meneja wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Mara, Mhandisi Sadick Chakka na mwenzake wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Marwa Murasa kwa kushindwa kusimamia vyema …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
RC MAHENGE AMEAGIZA MKANDARASI KUTOLIPWA FEDHA HADI AREKEBISHE MAPUNGUFU KWENYE DARAJA ALILOJENGA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dokta Binilith Mahenge amemuelekeza Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dodoma Mhandisi Salome Kabunda kutomlipa mkandarasi Musons Engineering fedha hadi arekebishe ukuta alioujenga wa daraja la Chinyasungwi ambao umepinda. Dokta Mahenge ametoa maelekezo hayo Januari 5,2020 wilayani Mpwapwa akiwa katika ziara …
Soma zaidi »DUWASA YAJIPA SIKU 100 KUPUNGUZA KERO YA UKOSEFU WA MAJI JIJINI DODOMA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mjini Dodoma (DUWASA) imejipa siku 100 za kutatua kero ya maji na hivyo kupunguza adha ya ukosefu wa maji iliyopo kwa wananachi katika maeneo mbalimbali wanayoyahudumia. Akizungumza na waandishi wa habari akiwa katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SAFARI ZA MV MBEYA II
Muonekano wa ndani wa Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Muonekano wa ndani wa Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA ELIMU, ATEMBELEA OFISI ZA BODI YA MIKOPO
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru akimkakaribisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga katika Ofisi za HESLB zilizopo Tazara Jijini Dar es Salaam wakati wa alipofanya ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini …
Soma zaidi »DKT. BASHIRU ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KIWANDA KUSINDIKA MAZIWA NA VYAKULA VYA MIFUGO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakuru akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa kampuni ya Kahama Fresh Limited, Jossam Ntangeki na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Karagwe wakikagua moja ya zizi la mashamba ya ufugaji ambapo itapatikana malighafi ya kuendesha kiwanda kinachojegwa na kampuni …
Soma zaidi »UJENZI HOSPITALI YA RUFAA MTWARA WAMVUTIA NAIBU WAZIRI MABULA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akishuka ngazi wakati akkagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Mtwara itakayohudumia mikoa ya Kanda ya Kusini pamoja na nchi jirani wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi na …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AAGIZA VIONGOZI WA AMCOS MBINGA WAKAMATWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma, Hamza Mwenda ahakikishe anawakamata viongozi wa AMCOS kwa tuhuma za kutoa fedha za wanachama na kuwapa madiwani ili wakawashawishi madiwani wenzao wakubali kubadilisha eneo la ujenzi wa ofosi za Halmashauri ya Wilaya …
Soma zaidi »MAJALIWA AFUNGUA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA MJI MBINGA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 4, 2021 amezindua jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mkoani Ruvuma. Pia, Waziri Mkuu alikagua nyumba 7 za Wakuu wa Idara za Halmashauri ya Mji wa Mbinga zilizojengwa na Serikali kwa gharama ya sh. Milioni 321.771. Nyumba za Wakuu wa Idara …
Soma zaidi »HALMASHAURI ZAONYWA WAFANYABIASHARA KUCHANJA MIFUGO, MIKATABA YAO KUVUNJWA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amepiga marufuku halmashauri zote nchini kutotumia wafanyabiashara kuchanja mifugo na kutaka kuvunjwa kwa mikataba hiyo mara moja. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (31.12.2020) alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja Mkoani Shinyanga ambapo alipokuwa katika josho la kuogeshea mifugo la Kijiji cha …
Soma zaidi »