Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

WAZIRI MHAGAMA AWAASA WAFANYAKAZI OSHA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA WELEDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) pamoja na wajumbe wa meza kuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Mkutano wa Baraza hilo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, …

Soma zaidi »

WALIOHUSIKA NA UNUNUZI WA MAGARI YA KIFAHARI WAPEWA SIKU 7

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa sababu gani magari …

Soma zaidi »

RWANDA YARIDHISHWA NA HUDUMA ZA BANDARI YA DSM PIA YAZUNGUMZIA JUU YA MKUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA UTAKAOFANYIKA RWANDA

Serikali ya Rwanda imeeleza kuridhishwa kwake na utoaji wa huduma katika Bandari ya Dar es Salaam na kuahidi kuendelea kuitumia Bandari hiyo ambayo inahudumia zaidi ya asilimia 80 ya mizigo ya Nchi hiyo. Balozi wa Rwanda hapa Nchini Meja Jenerali Charles Karamba ameyasema hayo mjini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo …

Soma zaidi »

MWENYEKITI WA BODI WA KAMPUNI YA KARDAG KUTOKA UTURUKI AFANYA KIKAO NA TAASISI ZA TIC, EPZA, SIDO, TCCIA NA TPSF

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Prof. Elizabeth Kiondo akielezea juu ya ziara ya wawekezaji na wafanyabiashara kutoka Uturuki katika studio za Radio Uhuru (Uhuru FM) Leo Jijini Dar es Salaam Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Prof. Elizabeth Kiondo (wa kwanza kushoto) pamoja na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Uturuki …

Soma zaidi »

SIMAMIENI MIRADI YA MAENDELEO – NAIBU WAZIRI SILINDE

Na Angela Msimbira SUMBAWANGANaibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa David Silinde amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri zao ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa wakatiNaibu Waziri Silinde ametoa agizo hilo, leo kwenye ziara yake ya Kikazi kukagua …

Soma zaidi »