Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI WAFANYA ZIARA KWENYE MRADI WA JULIUS NYERERE (JNHPP)

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Stephen Byabato wamefanya ziara kwenye ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kwa ajili ya kujionea utekelezaji wa mradi ambao utazalisha umeme wa megawati 2115.Ziara hiyo iliyofanyika, tarehe 14 Desemba, 2020 iliwahusisha …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AAGIZA WATUMISHI 22 TRA WASIMAMISHWE KAZI

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, Dkt. Edwin Mhede kuwasimamisha kazi watumishi 22 wa Mamlaka hiyo wakiwemo baadhi ya Maneja wa TRA wa Mikoa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili za kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kujihusha na …

Soma zaidi »

RC KUNENGE AWATAKA MANISPAA KINONDONI NA JKT KUKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA DALADALA MWENGE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha Ujenzi wa kituo Cha daladala Mwenge na Maduka 126 vinakamilika kabla ya February 28 na kuanza kutumika Machi 01 ili kiweze kutoa huduma kwa wananchi Kama ilivyokusudiwa. RC Kunenge ametoa agizo …

Soma zaidi »

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI, RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN MWINYI ALA KIAPO KUWA MJUMBE WA BARAZA HILO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020 …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MV KILINDONI IKIWEKWA MAJINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inatekelezwa kwa viwango na kuwanufaisha watumiaji. Waziri Mkuu amesema hayo (Jumanne, Desemba 15, 2020) wakati aliposhuhudia uingizwaji majini wa Kivuko cha MV Kilindoni ‘Hapa kazi Tu’ kitakachofanya safari zake kati ya …

Soma zaidi »