Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akitazama mti bora wa kahawa katika shamba la kituo cha utafiti TACRI Mbimba wilaya ya Mbozi jana. Kushoto ni Mtafiti Mkufunzi Dismas Pangaras na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Uendelezaji Mazao Wizara ya Kilimo Beatus Malema. Wizara ya Kilimo imetoa wito kwa wawekezaji …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
SERIKALI YAKUTANA NA WAZALISHAJI WA SARUJI NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki wamefanya kikao cha pamoja na wazalishaji wa saruji nchini kwa lengo la kujadili fursa mbalimbali, changamoto na namna bora ya kukuza sekta ya ujenzi nchini kupitia saruji, kikao kilichofanyika …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI LEO AMETEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA NYUMBA MAALUMU YA RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiteta Jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Wakati alipotembelea Ujenzi wa Nyumba ya Mhe.Kikwete inayojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AMEMKABIDHI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBA MAALUMU ILIYOJENGWA NA SERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba maalumu iliyojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa …
Soma zaidi »UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO
Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …
Soma zaidi »MIRADI YA UJENZI WA MAHAKAMA YAENDELEA KWA KASI JIJINI DODOMA
Na Stanslaus Makendi, Mahakama Kuu Dodoma Mahakama ya Tanzania inatekeleza miradi mbalimbali ya ukarabati na ujenzi wa Mahakama nchini kwa lengo la kuboresha miundombinu yake ili kuwa na mazingira wezeshi ya utaoji wa huduma ya utoaji haki kwa ujumla. Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa Mikoa kadhaa nchini ambapo miradi …
Soma zaidi »MKOA WA RUVUMA WATAJWA KUWA NA HAZINA YA TANI MILIONI 227 ZA MAKAA YA MAWE
Shughuli za utafiti na uchimbaji wa makaa ya mawe katika Mkoa wa Ruvuma zinafanyika katika Wilaya ya Mbinga maeneo ya Mbalawala na Mbuyula, Wilaya ya Songea katika maeneo ya Muhukuru, Njuga na Mtyangimbole na Wilaya ya Nyasa maeneo ya Malini Kata ya Mtipwili na Mbambabay, anaripoti Mwandishi Diramakini. Afisa Madini …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATEMBELEA MSIKITI MKUU KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Oktoba, 2020 ametembelea Msikiti Mkuu uliojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mufti …
Soma zaidi »MKOA WA KAGERA WAKAMILISHA MIRADI YA MAJI 73
Mkoa wa Kagera umekamilisha jumla ya miradi ya maji 73 yenye thamani ya shilingi 62,516,688,102 hivyo kuongeza hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kutoka asilimia 42 iliyokuwepo mwaka 2015 katika miji hadi kufika asilimia 65 iliyopo sasa na kwa vijijini kutoka asilimia 53 hadi asilimia 67. Kaimu …
Soma zaidi »SERIKALI IMEJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAWEKEZAJI
Ikiwa ni wiki moja baada Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa kutoa maagizo kwa Wizara ya Viwanda na Biashara kufika kwenye kiwanda cha maziwa kinachojegwa kihanga, Wilayani Karagwe ili kutatua changamoto anazozipata Mwekezaji wa kiwanda hicho. Oktoba 12,2020 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Ludovick …
Soma zaidi »