RAIS MAGUFULI AMEMKABIDHI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBA MAALUMU ILIYOJENGWA NA SERIKALI Matokeo ChanyA+ October 18, 2020 IKULU, MAWASILIANO IKULU Acha maoni 2,501 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba maalumu iliyojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya marais Mara wanapo Staafu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo amemkabidhi Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi Nyumba maalumu iliyojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya marais Mara wanapo Staafu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Picha ya Pamoja wakionesha alama ya kufurahi na Mhe Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na Mama.Sitti Mwinyi. Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam , Mhe. Aboubakar Kunenge , na Brigedia jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa SUMA JKT , Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020 Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest