RAIS MAGUFULI LEO AMETEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA NYUMBA MAALUMU YA RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiteta Jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Wakati alipotembelea Ujenzi wa Nyumba ya Mhe.Kikwete inayojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais Mara wanapo Staafu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na serekali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais Mara wanapo Staafu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Msalaba Mwekundu: Nguzo ya Kibinadamu na Ujenzi wa Jamii Imara

Msalaba Mwekundu, ambao ni sehemu ya Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *