MKOA WA RUVUMA WATAJWA KUWA NA HAZINA YA TANI MILIONI 227 ZA MAKAA YA MAWE

Shughuli za utafiti na uchimbaji wa makaa ya mawe katika Mkoa wa Ruvuma zinafanyika katika Wilaya ya Mbinga maeneo ya Mbalawala na Mbuyula, Wilaya ya Songea katika maeneo ya Muhukuru, Njuga na Mtyangimbole na Wilaya ya Nyasa maeneo ya Malini Kata ya Mtipwili na Mbambabay, anaripoti Mwandishi Diramakini.

Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Ruvuma, Mhandisi Jumanne Mohamed Nkana amesema Mkoa wa Ruvuma una hazina ya makaa ya mawe zaidi ya tani milioni 227 ambayo yanatarajiwa kuchimbwa kwa miaka 300.

Kulingana na Nkana,tafiti za awali za makaa ya mawe zimefanyika katika maeneo ya Mbalawala Mbinga ambako imebainika kuwa na tani milioni 99.5, Mbuyula Mbinga tani milioni 15.1 na Muhukuru Songea tani milioni 27.

Ad

Kwa mujibu wa Nkana tafiti katika eneo la Njuga wilaya ya Songea kuna tani milioni 23, wilaya ya Nyasa maeneo ya Malini tani kata ya Mtipwili milioni 29, kijiji cha Liweta Kata ya Mbaha tani milioni 34.Amesisitiza kuwa, ubora wa makaa ya mawe yanayopatikana kwenye maeneo hayo yana wastani wa Calorific Value (CV)5,000 hadi 7,000.

Makaa ya Mawe

Hata hivyo Afisa Madini Mkazi huyo wa Mkoa wa Ruvuma amesema uchimbaji mkubwa wa makaa ya mawe unafanyika katika maeneo ya Mbalawala,Mbuyula, Mbambabay, Muhukulu na Liweta.

Amewataja wateja wakubwa wa makaa ya mawe yanayochimbwa katika maeneo hayo kwa sasa kuwa wapo ndani ya nchi na katika nchi jirani za Rwanda, Kenya na Uganda na kwamba wanatarajia kuanza kuuza makaa ya mawe katika nchi ya India.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme ameziagiza kampuni zinazochimba makaa ya mawe mkoani humo kuuza makaa ya mawe kwenye viwanda vya ndani ili kupata nishati ya kutosha na ziada inayobaki isafirishwe kwenda nje ya nchi.

Mndeme pia ameziagiza kampuni hizo kutoa ajira kwa Watanzania ili waweze kunufaika na rasilimali za nchi huku akisisitiza kuchimba makaa ya mawe yenye viwango ili soko lipanuke, na kuzingatia usalama na afya za watumishi wote wanaofanya kazi katika migodini.

Maamuzi ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt.John Magufuli kuzuia kuagiza makaa ya mawe toka nje,badala yake watumiaji wote kutumia makaa ya mawe ndani ya nchi,hususani toka mkoani Ruvuma yamesababisha soko la makaa hayo kupanda na kutoa ajira kwa watanzania.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

145 Maoni

  1. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  2. Пансионаты для пожилых людей https://moyomesto.ru в Самаре по доступным ценам. Специальные условия по уходу, индивидуальные программы.

  3. Ousmane Dembele’s https://paris-saint-germain.ousmanedembele-br.com rise from promising talent to key player for French football giants Paris Saint-Germain. An exciting success story.

  4. The compelling story of Alisson Becker’s https://bayer-04.florianwirtz-br.com meteoric rise from young talent to key figure in Liverpool’s triumphant era under Jurgen Klopp.

  5. O meio-campista Rafael Veiga leva https://palmeiras.raphaelveiga-br.com o Palmeiras ao sucesso – o campeonato brasileiro e a vitoria na Copa Libertadores aos 24 anos.

  6. Midfielder Rafael Veiga leads https://manchester-city.philfoden-br.com Palmeiras to success – the championship Brazilian and victory in the Copa Libertadores at the age of 24.

  7. In-depth articles about the most famous football players https://zenit-saint-petersburg.wendel-br.com, clubs and events. Learn everything about tactics, rules of the game and football history.

  8. Fabrizio Moretti https://the-strokes.fabriziomoretti-br.com the influential drummer of The Strokes, and his unique sound revolutionized the music scene, remaining icons of modern rock.

  9. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-br.net one of the greatest basketball players of all the times, left an indelible mark on the history of sport.

  10. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  11. Anderson Silva https://killer-bees-muay-thai-college.andersonsilva.net was born in 1975 in Curitiba Brazil. From a young age he showed an interest in martial arts, starting to train in karate at the age of 5.

  12. Bruno Miguel Borges Fernandes https://manchester-united.brunofernandes-br.com was born on September 8, 1994 in Maia, Portugal.

  13. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

  14. Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior-ar.com the Brazilian prodigy whose full name is Vinicius Jose Baixao de Oliveira Junior, has managed to win the hearts of millions of fans around the world in a short period of time.

  15. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  16. Pedro Gonzalez Lopez https://barcelona.pedri-ar.com known as Pedri, was born on November 25, 2002 in the small town of Tegeste, located on Tenerife, one of the Canary Islands.

  17. Andreson Souza Conceicao https://al-nassr.talisca-ar.com known as Talisca, is one of the brightest stars of modern football.

  18. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  19. Brazilian footballer Neymar https://al-hilal.neymar-ar.com known for his unique playing style and outstanding achievements in world football, has made a surprise move to Al Hilal Football Club.

  20. Сайт https://ps-likers.ru предлагает уроки по фотошоп для начинающих. На страницах сайта можно найти пошаговые руководства по анимации, созданию графики для сайтов, дизайну, работе с текстом и фотографиями, а также различные эффекты.

  21. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  22. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  23. Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.

  24. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  25. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  26. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  27. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  28. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/form-consultation в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  29. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  30. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  31. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  32. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  33. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  34. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  35. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  36. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  37. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  38. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  39. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  40. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  41. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  42. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  43. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *