Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wawekezaji wachangamkie fursa zilizopo nchini kwa kuangalia maeneo mazuri ya kufanya uwekezaji mpya au kupanua uwekezaji wao. Ametoa rai hiyo (Jumapili, Agosti 16, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa Namichiga, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, waliohudhuria uwekaji wa jiwe la msingi kwenye kiwanda cha …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
SERIKALI ITAENDELEA KULINDA UHURU WA KUABUDU – RAIS DKT. MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga waumini baada ya kuhudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020 Rais Dkt. John Magufuli amelipongeza Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa huduma nzuri ya …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA KUANZA KUTAFUTA MASOKO
Muonekano wa baadhi ya Majengo ya Kiwanda hicho yaliyojegwa katika awamu ya kwanza (LOT 1) yakiwa yamekamilika. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza uongozi wa Kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kutafuta masoko ndani …
Soma zaidi »WASOMI WAHIMIZWA KUWA WABINIFU
Na Mwandishi Wetu Lushoto Tanga Wasomi nchini wamehimizwa kutumia rasilimali zinazowazunguka kubuni miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni njia mojawapo ya kuchochea uchumi wa Viwanda. Hayo yamesemwa leo Wilayani Lushoto, Mkoani Tangana Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu alipofanya ziara katika Chuo cha Maendeleo …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI SIMA ASISITIZA ULINZI KATIKA VYANZO VYA MAJI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akitoa maelekezo akiwa katika banio la banio la mfereji wa Mnazi katika Kijiji cha Warumba, Kata ya Imalilo Wilayani Mbarali baada ya kukagua changamoto za matumizi ya maji katika eneo hilo. Kutoka kulia ni Prof Esnat Chaggu …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA HARIDHISHWI NA KASI YA UPIMAJI NYANG’HWALE
Na Munir Shemweta, WANMM NYANG’HWALE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameonesha kutoridhishwa na kasi ndogo ya upangaji na upimaji ardhi katika halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita. Akiwa katika ziara yake ya kikazi kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi kwenye halmashauri …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI APEWA TUZO MAALUM YA HESHIMA NA KANISA TA TAG
Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Tanzania (TAG) Dkt. Barnabas Mtokambali amesema kuwa Baraza kuu la Kanisa hilo limeamua kutoa Tuzo Maalum ya Heshima kwa Rais Dkt. John Magufuli. Amesema hayo wakati wa kumkabidhi Rais Magufuli Tuzo hiyo katika mkutano wa Baraza kuu la Kanisa hilo uliofanyika …
Soma zaidi »UONGOZI WA WILAYA YA KIBITI UMETEKELEZA MAAGIZO YA RAIS YA KUJENGA CHOO KATIKA STENDI NDANI YA SIKU SABA
Uongozi wa Wilaya ya Kibiti umetekeleza maagizo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kujenga choo katika stendi ndani ya siku saba.Hayo yamebainika (Alhamisi, Agosti 13, 2020), mara baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kukagua ujenzi wa choo hicho, Rais Magufuli alitoa agizo la kukamilika ujenzi wa choo hicho tarehe …
Soma zaidi »WAZIRI AAGIZA MKANDARASI WA REA AKATWE MSHAHARA
Veronica Simba – Dodoma Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, ameagiza Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Umeme Vijijini, Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Kwanza, mkoani Dodoma akatwe asilimia 10 ya malipo yake kutokana na kuchelewa kukamilisha kazi hiyo. Alitoa maagizo hayo, Agosti 12, 2020 baada ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AHITIMISHA MAONESHO YA WAKIZIMKAZI MWAKA 2020
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya Mkoba wa Ukili unaotengenezwa kwa kutumia wa kindu na Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Unguja alipotembelea Mabanda ya maonesho ya Sherehe ya siku ya Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa …
Soma zaidi »