UONGOZI WA WILAYA YA KIBITI UMETEKELEZA MAAGIZO YA RAIS YA KUJENGA CHOO KATIKA STENDI NDANI YA SIKU SABA

Uongozi wa Wilaya ya Kibiti umetekeleza maagizo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kujenga choo katika stendi ndani ya siku saba.

Hayo yamebainika (Alhamisi, Agosti 13, 2020), mara baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kukagua ujenzi wa choo hicho, Rais Magufuli alitoa agizo la kukamilika ujenzi wa choo hicho tarehe 30 Julai akiwa njiani kutoka Mkoani Mtwara kurejea jijini Dar Es Salaam.
Ad

Unaweza kuangalia pia

“KIPINDI CHA UCHAGUZI TUKIFANYA KAZI ZETU VIZURI NI KIPINDI CHA KUWAELEKEZA WATU”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *