Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amepokea Kivuko cha MV Kigamboni kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika eneo la Kigamboni jijini Dar es salaam. Ukarabati huo umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.09. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amepokea Kivuko cha MV Kigamboni kilichofanyiwa ukarabati mkubwa …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
KATIBU MKUU WA MAWASILIANO AKUTANA NA BODI YA UCSAF
Na Prisca Ulomi, WUUM, Dodoma Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainab Chaula amepokea changamoto kutoka kwa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya huduma za mawasiliano ya redio ya uhakika kwenye maeneo mbali mbali nchini Dkt. Chaula amepokea changamoto …
Soma zaidi »MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI, WATEJA WA AWALI KUUNGANISHWA BURE
Na Zuena Msuya Lindi, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ( TPDC) itasambaza na kuunganisha bila malipo (bure) miundombinu ya usambazaji wa Gesi asilia kwa matumizi ya majumbani kwa wateja wa awali katika mikoa yote nchini itayofikiwa na huduma hiyo. …
Soma zaidi »SERIKALI YATAHADHARISHA ‘TEGESHA’ NYAMONGO
Na Munir Shemweta, WANMM TARIME Serikali imewatahadharisha wananchi wa kijiji cha Komarera kata ya Nayamongo Tarime Vijijini mkoani Mara kuacha tabia ya kufanya maendelezo maarufu kama Tegesha katika eneo linalotaka kuchukuliwa na Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara kwa shughuli za uchimbaji madini. Tahadhari hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki …
Soma zaidi »PROF. SHEMDOE -TUWEKEZE KWENYE VIWANDA VINAVYOTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe amewataka Watanzania kuwekeza katika sekta ya viwanda vinavyotumia malighafi za ndani. Prof. Shemdoe aliyasema hayo Mkoani Simiyu alipokuwa katika ziara ya siku moja kutembelea Viwanda katika Mkoa huo. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu na ujumbe wake walipata fursa ya kutembelea …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKABIDHI NDEGE AINA YA TAUSI KWA MARAIS WASTAAFU KATIKA IKULU YA CHAMWINO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake, hafla hiyo fupi ilifanyika katika viwanja vya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKAGUA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU CHAMWINO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma Rais Dkt. …
Soma zaidi »WAZIRI KAIRUKI -CHANGAMKIENI FURSA ZA UWEKEZAJI WA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri (Uwekezaji), Angellah Kairuki akipataa maelezo kuhusu kifaa cha kupima kiwango cha vitamin ‘A’ katika alizeti kutoka kwa Afisa Viwango, Upendo Mganda wakati wa ziara yake ya kikazi alipotembelea na kukagua kiwanda kinachozalisha mafuta ya kula ya alizeti cha SUNSHINE chenye kuzalisha mafuta aina ya …
Soma zaidi »PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MABALOZI WA UFARANSA, UTURUKI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Pamalagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mhe. Frederic Clavier ambapo pamoja na mambo mengine, Balozi Clavier ameipongeza Tanzania kwa hatua ilizochukua kupambana na janga a virusi vya corona nchini.Balozi Clavier pia amemhakikishia Mhe. Waziri …
Soma zaidi »