TANZANIA; KILELE CHA AFRIKA
#SisiNiTanzaniaMpyA+ ambayo ni kilele cha Afrika. Kinara wa ukombozi wa Afrika. Nchi ya Amani na Utulivu duniani. Nchi iliyodhamiria kupata Matokeo chanyA+ 110% katika kila Nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti wenye manufaa kwa wananchi wake wote. #MATAGA
Soma zaidi »InfoChanyA+ VIWANDA 3,000 VINAHUDUMIWA NA SEKTA YA MISITU
MKOA WA SONGWE KUZINDUA KAMPENI ZA UPIMAJI AFYA BURE
Mkoa wa Songwe, kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto kupitia mpango wa kitaifa wa kudhibiti UKIMWI NACP Kwa kushirikiana na shirika la MHRP – HJRMRI wameandaa huduma za upimaji wa afya zitakazo tolewa bure mkoani humo. Hayo yamesemwa na mkuu wa Mkoa Bri. Jen Nicodemas …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS;Elimu inahitajika kuzuia viumbe wageni/vamizi
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni vema kama nchi kujipanga mapema kuhakikisha kwamba viumbe vamizi hawaendelei kushamiri ili kuepusha Taifa kuingia kwenye gharama kubwa za kukabiliana na janga hilo hapo baadaye. “Pamoja na kwamba viumbe hawa ni janga la kiuchumi, kimazingira na kiafya lakini bado halijashughulikiwa kikamilifu hususani …
Soma zaidi »video:#MATAGA – JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT MPYA; Wasafiri Kuongezeka Kwa 400% !!
Ni uwanja wa Ndege wa mkubwa wa Kimataifa unaojengwa pembeni mwa uwanja unaotumika sasa (JNIA Terminal 2) Kwa sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 82! Ujenzi wa uwanja huo unatarajia kukamilika mwezi Mei 2019. Ndio uwanja wa ndege wa kisasa na bora zaidi kwa Afrika Mashariki na Kati. Utakuwa na uwezo …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA AfDB NA MABALOZI WAWILI LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Dkt. Alex Mubiru ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kujitambulisha. Makamu wa Rais amesema kuwa AfDB imeahidi kuendelea kushirikiana na …
Soma zaidi »LIVE: Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja kuhusu Matukio ya Leo hususan Ajali ya MV Nyerere iliyotokea Alhamisi 20/09/2018
• Ni kutoka TBC1- Dira ya Mchana • Shughuli za uokoaji zikiendelea • Viongozi mbalimbali wa serikali wakihojiwa love wakati wakisimamia zoezi la uokoaji na kuratibu shughuli ya uokoaji. Tazama matangazo haya kwa kufungua link hii TUNATOA POLE SANA KWA WATANZANIA WENZETU KWA MSIBA HUU MSITO.
Soma zaidi »UJANJA UJANJA, UBADHILIFU, RUSHWA & UFUSADI; HAVINA NAFASI AWAMU HII – MKURUGENZI MKUU TAKUKURU
• Awaasa Watanzania kubadilika na kuwa waadilifu, wachapa kazi na Wazalendo. • Wataka waunge mkono juhudi za Rais na serikali katika kujenga na kukuza uchumi wa Taifa. maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ #MATAGA Bofya link ifuatayo kuona video https://vimeo.com/user63874414/review/291051363/6f08a386b4
Soma zaidi »#TupoVizuri; Utandikaji Reli SGR Waanza Rasmi!
• Kwa siku chache zijazo km 55 zitakuwa tayari zimekamilika kutandikwa reli ya kisasa – SGR. • Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Isack Kamwele azindua zoezi hilo rasmi. • Kasi ya ujenzi yawa kubwa huku ari ya utendaji wa wafanyakazi ikingezeka maradufu. hakika maendeleo yanaonekana… maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye …
Soma zaidi »