Taarifa Vyombo vya Habari

JWTZ KUHAKIKI UPYA VIJANA WALIOKIUKA USAJILI WA KUJIUNGA NA JKT

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeamua kufanya upya uhakiki wa kina utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wanaojiunga kwa kujitolea baada ya kubaini baadhi yao kufanya udanganyifu wakati wa usaili unaoendelea sasa. Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi Luteni Kanali Gaudence …

Soma zaidi »

MRADI WA MAJI LAMADI WAFIKIA HATUA ZA MWISHO

Serikali imesema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa maji wa Lamadi uliopo Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu ambao utekelezaji wake umefikia asilimia 93. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Emmanuel Kalobelo alisema hayo hivi karibuni wakati wa ziara yake kwenye mradi huo. Katika ziara hiyo Mhandisi Kalobelo …

Soma zaidi »

MABORESHO YA MFUMO WA HAKI JINAI YAHAKIKISHE WANANCHI WANAPATA HAKI – LUGOLA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola amekitembelea  kikosi kazi kinachopitia mfumo wa haki jinai nchini ili kuufanyia maboresho na kukitaka kuangalia kwa umakini maeneo yote ambayo yamekuwa changamoto na kuwafanya wananchi kukosa haki zao. Mhe. Lugola ametoa kauli hiyo alipotembelea kambi maalum ya wataalamu wa serikali …

Soma zaidi »