SERIKALI YAJA NA SULUHISHO LA WALANGUZI WA TIKETI ZA MABASI

ET
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama  Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA), Gilliard Ngewe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), Emmanuel Stephen Ndomba. Majaribio hayo yanaanza  tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
ET
Afisa Habari wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta kuu ya Uchukuzi), Christopher Phillemon akitoa maelezo mafupi kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (kulia) kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe. Majaribio hayo yanaanza  tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
ET
Baadhi ya Waandoshi wa Habari wakifutilia maelezo ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma. Majaribio hayo yanaanza  tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
ET
Afisa Habari wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta kuu ya Uchukuzi), Christopher Phillemon akiwa na baadhi ya Waandishi wa Habari wakifutilia maelezo ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (hayupo pichani) kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma. Majaribio hayo yanaanza  tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Ad

Unaweza kuangalia pia

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.