JENGO LA 3 LA ABIRIA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE KUANZA KUTUMIKA MWEZI UJAO
WAZIRI WA VIWANDA AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI NCHINI RWANDA
WAZIRI WA UJENZI KAMWELE AFANYA MAZUNGUMZO NA WACHIMBAJI WA MADINI WAKUBWA ILI KUTATUA CHANGAMOTO ZAO
WAZIRI BITEKO – UWE MWEKEZAJI WA NJE AU MZAWA HAKI YAKO UTAIPATA
Uwe mzawa, uwe mwekezaji wa nje kwangu haki yako utaipata. Ni kauli ya Waziri wa Madini Doto Biteko wakati akisuluhisha mgogoro baina ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu eneo la Ikungi mkoani Singida na mwekezaji wa kampuni ya PolyGold (T) Ltd. Ametoa kauli hiyo Julai 2, 2019 ofisini kwake …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA VIETNAM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Nguyen Doanh ambapo amewakaribisha wafanyabiashara kutoka Vietnam waje nchini kuwekeze katika sekta mbalimbali ikiwemo ya viwanda. Amesema Rais Dkt. John Magufuli ameanzisha Wizara ya Uwekezaji iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa ajili ya kuifanya Tanzania …
Soma zaidi »MAWAZIRI BARA, ZANZIBAR WASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ally Abeid Karume wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika kusimamia na kutekeleza sekta za Habari, Utamaduni,Sanaa na michezo …
Soma zaidi »BILIONI 114.1 KUWAPA NEEMA YA MAJI SAFI NA SALAMA WAKAZI WA DAR NA PWANI
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wametia saini mikataba wa miradi mikubwa sita ya usambazaji maji kwa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani wenye thamani ya Bilion 114.5. Utiaji huo wa saini umefanyika leo Julai 2, 2019 katika ofisi za Mamlaka hiyo huku ukishuhudiwa na Waziri …
Soma zaidi »RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA
Uongozi wa Ofisi ya Rais na Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) umetakiwa kuandaa programu maalum ya mafunzo ya muda mfupi kwa ajili ya Viongozi, Watendaji Wakuu na Watumishi wengine wa Serikali. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi …
Soma zaidi »