Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Serikali inatarajia kujenga dampo la kisasa katika Mkoa wa Dar es Salaam ili liweze kuhimili taka zote zinazozalishwa mkoani humo. Zungu amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Kawe Halima …
Soma zaidi »BALOZI WA ISRAEL ATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Israel imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kuhakikisha watoto wenye magonjwa ya moyo wanapata matibabu kwa wakati. Hayo yamesemwa jana na Balozi wa nchi hiyo nchini mwenye makazi yake Jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Oded Joseph alipotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kuona …
Soma zaidi »SERIKALI KUTOINGILIA TAALUMA YA UKAGUZI WA HESABU ZA FEDHA
Serikali imeeleza kuwa haina mpango wa kuingilia taaluma ya ukaguzi wa hesabu nchini kwa kuondoa kipengele cha Hati inayoridhisha kwenye Ukaguzi wa Hesabu kwa kuwa ni matakwa ya Viwango vya kimataifa vya uandaaji wa Taarifa za Fedha. Hayo yamesemwa Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. …
Soma zaidi »PROF. KABUDI AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA NORFUND
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Uwekezaji wa Norway kwa nchi zinazoendelea (Norwegian Investment Fund for Developing Countries – Norfund), Bw. Tellef Thorleifsson. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ndogo za wizara …
Soma zaidi »WAZIRI KAIRUKI AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki amewahakikishia wafanyabiashara na Wawekezaji kuwa Serikali itaendelea kuwawekea mazingira mazuri ya Uwekezaji nchini. Pia, Amesema Serikali imejipanga kuboresha mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wawekezaji ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kwa kuwekeza …
Soma zaidi »WAZIRI ZUNGU AWASILI MTUMBA NA KUSISITIZA UADILIFU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amemtaka kila mtumishi katika Ofisi ya Makamu wa Rais atimize wajibu wake katika kuleta maendeleo ya Taifa letu. Hayo ameyasema hii leo mara baada ya kuwasili rasmi katika Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji …
Soma zaidi »UJENZI WA GATI NAMBA 4 & 5 KUKAMILIKA MWEZI JUNI, 2020
SPIKA NDUGAI AWAKABIDHI SPIKA WASTAAFU MAJOHO YAO BUNGENI JIJINI DODOMA
RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI 9 WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI
TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA
Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga hospitali kubwa ya moyo katika eneo la Mloganzila ambapo hatua za awali za mchakato wa ujenzi zimekamilika. Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Prof.Mohammed Janabi alieleza …
Soma zaidi »